Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Pole yake! Unawekeza kwenye biashara ambayo moto ni kawaida sana halafu unashindwa kuweka bima?!! Na bima ya majengo na vifaa ni ndogo sana basi tu tunaishi kwa mazoea.
 
Ndo maana nikipataga hela zangu... Nazila Mimi kwanza sababu you don't know what tomorrow brings.
 
Pole yake! Unawekeza kwenye biashara ambayo moto ni kawaida sana halafu unashindwa kuweka bima?!! Na bima ya majengo na vifaa ni ndogo sana basi tu tunaishi kwa mazoea.
Mazoea ni mabaya sana. Yeye ndo alikua kwenye mchakato ndugu yangu. Ukiangalia ni biashara kubwa hapa. Ila ni mpambanaji. Atarudi tena. All is well
 
Unataka kufananisha kuweka 20Billion kwenye bar??inawezekana hapa topic ni La Chaaz na sio MO ofcoz unaweza ku invest any money sehemu yoyote kutegemea na biasharaa unayofanya so hapa hatuongelei mambo ya Diamond na MO....
 
Unataka kufananisha kuweka 20Million kwenye bar??inawezekana hapa topic ni La Chaaz na sio MO ofcoz unaweza ku invest any money sehemu yoyote kutegemea na biasharaa unayofanya so hapa hatuongelei mambo ya Diamond na MO....
Achana nae huyo hajui context. Ukimsumbua au kumdharau Mo kwa 20b atakwambia kwake ni hela ndogo sana....na tunarudi pale pale kwasababu anazo mara 1000 yake.
 
Achana nae huyo hajui context. Ukimsumbua au kumdharau Mo kwa 20b atakwambia kwake ni hela ndogo sana....na tunarudi pale pale kwasababu anazo mara 1000 yake.
Kabisaaa mkuu hapo hujakosea kabisaa mkuu nadhani unavyosema upo sawa kabisaaaa....Naona wengine wanachangia ila hawaelewi huu uzi umeanza wapi...
 
Much Know utawaweza
 

[emoji23][emoji23][emoji23]mwalimu sawa nimekusoma
 
Upo sahihi
 
Naomba unidokeze utakapoenda kufanya practical ili niwe around kuhakikisha somo limeeleweka.

Haya mafunzo imebidi niya save sehemu kwanza maana somo ni gumuu
Nimeanza kusoma mwanzo kufika katikati nimekuwa hoves[emoji56][emoji56]nimewaza haya yote nitakuwa nafanya kumvutia nani
Nilipochoka zaidi ni hapo kama nina kamguu kazuri nikaonyeshe nikiangalia tumiguu sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahah .mdau.....usiogope.. u ll witness the magic from it...men fall for little things

Ndo nmeingia home hapa..
 
Sasa huu mstari wa kwanza ulikua unauliza,unashangaa au unatoa taarifa? Umesoma alafu hujui kuandika alafu unamwita binaadamu mwenzio ana kichwa kizito
 
doh R.I.P mudy..umenikumbusha ulivyomtaja mzee wa physics
 
Duuu7h poleeh yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…