RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Pole yake! Unawekeza kwenye biashara ambayo moto ni kawaida sana halafu unashindwa kuweka bima?!! Na bima ya majengo na vifaa ni ndogo sana basi tu tunaishi kwa mazoea.Soo sad hakua na bima. He was on the process. Siyo ukumbi, siyo bar, sijui supermarket etc chenye bima. Alikua yuko kwenye mchakato ndo shetani akaingilia. ...
Kwahiyo wale walokua wanahisi maybe bima sijui kachoma and everything. Hapana. Niliamini hivyo pia. Hoping all will go well.