Sinza duka linafunguliwa saa 5, kuna T shirt 4, Jinsi 3 ila ndani full AC, Wifi, Dstv, Nje imepaki ndinga ya milioni 50+, wenzetu wanafanye?

Sinza duka linafunguliwa saa 5, kuna T shirt 4, Jinsi 3 ila ndani full AC, Wifi, Dstv, Nje imepaki ndinga ya milioni 50+, wenzetu wanafanye?

Magauni, na suti za kina mama kutoka uturuki na mashati ya kiume... Mzee mzabzab
Ah so hapo mishangazi inakujaga au sio. Basi mie naomba nikae hapo dukani napitisha muda. Nitalipa 5k na lunch nitakununulia just for 1 month am sure nitapata lishangazi lakunilea
 
Ah so hapo mishangazi inakujaga au sio. Basi mie naomba nikae hapo dukani napitisha muda. Nitalipa 5k na lunch nitakununulia just for 1 month am sure nitapata lishangazi lakunilea
Inakujaga mishangazi ya maana kabisa hiyo hela Anza kuituma sasa!

Advanced payment!
 
utakatishaji wa pesa huo...ukija kuhojiwa unasema umeuza t-shirt mbili zenye thamani ya milioni 3 kumbe ushauza gramu kadhaa za pele.
Hiyo ni roho mbaya, fukani tunavyo vitabu vya dini kwa sababu sisi ni watu wa mungu na matoleo yetu kanisani na misikitini yamenona, Kaisari lazima apewe chake.
 
Ni ofisi maalumu za kutafutia uhalali kwenye jamii.
Wengi ni wafanya biashara za magendo,
wakwepa kodi wakubwa
watakatishaji fedha
kifupi wanafanya kazi haramu, wanatengeneza pesa nyingi
kifupi ofisi za hivyo ziko nyingi kwa sbb awamu ya sasa ndio vile tena
 
Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please.

Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza

Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni vichache vinahesabika lakini ndani kuna AC, Wifi, Dstv, misosi ya maana inaletwa halafu nje imepaki chuma ya bei ndefu.

Tufumbuane macho
Simu yako inaweza kukuletea hela ukiwa hata bafuni unaoga...badili fikra zako ili uweze Kuona zaidi ya hizo T shirts,n.k
 
Back
Top Bottom