Sinza kuna mtu anaitwa Wambura, naye hutishia watu bastola hadharani

Sinza kuna mtu anaitwa Wambura, naye hutishia watu bastola hadharani

Huyu naye ni wa hapa hapa sinza kwa Lemi, ana bastola lakini ana akili kama za yule aliyeua, msijesema hatukuwaambia,enyi polisi, huyu hutoa silaha hadharani na kutishia,
sasa si ungetoa taarifa za kutosha kuweza kufahamika ? kwa jinsi ulivyotoa taarifa ni kama vile kila mtu anaishi karibu naye au kama vile kuna Wambura mmoja tu nchi nzima.
 
Back
Top Bottom