Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,735
Tiefefyu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wambura wapo wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tiefefyu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wambura wapo wengi
Mnyakyusa alielelewa uchagani,huyo lazima achukuwe tabia za uchagani!!Mbona huyo koroso ni mnyakyusa wewe
Tumsaidie kukuza masikioSheria ya kumiliki silaha iangaliwe upya... chini ya miaka 40 ni tatizo kubwa...
Sasa mnaona jamaa katuachia mkewe - tufanyeje ssa sisi majirani?
Mnyakyusa gani anaenda kuzikwa Moshi?Alex Korosso wachaga wamemkana. Huyu ni MNYAKYUSA wa Mbeya. Wachaga wakiua huwa hawajiui na wao. Ukiona mtu kajiua ujue ni mhehe au mnyakyusa.
Hii mbinu naitumia long time kichizi, bar sio sehemu salama kabisaaaaaaaaNna mwaka sahv bar sijakanyaga.
Sehemu zang za kunywa najichanganya na wazee au kwa mangi.
Hapo lemax pembeni kna saloon moja ya jamaa mmja anaitwa shafii nilikuwa nkipita hapo naishia hapo kama bia zinanyweka nje.
Huyo jamaa nishabahatika ona makeke yake mitaa hiyo.
Ah mambo ya bar sjui kidimbwi huko sahv hawatupati mzee maana ss wengine wanyonge.
Tusije tukatolewa uhai bure😂😂.
Nmekoswakoswa kwenyw matukio ya bar zaidi ya 8 mambo ya kwenye vilevi nna uzoefu napo sana sema uzuri si wengine hatunaga hasira tunajua namna ya kudeal na watu.
Mtu akikutukana akikusukuma inshalahhh
Ova
Anachokitafuta atakipataHuyu naye ni wa hapa hapa Sinza kwa Remi, ana bastola lakini ana akili kama za yule aliyeua, msijesema hatukuwaambia, enyi polisi, huyu hutoa silaha hadharani na kutishia.
Hakuna MNYAKYUSA aitwe Koroso nakataa,hilo jina hamna kule huyo pimbi katoka huko MoshiAlex Korosso wachaga wamemkana. Huyu ni MNYAKYUSA wa Mbeya. Wachaga wakiua huwa hawajiui na wao. Ukiona mtu kajiua ujue ni mhehe au mnyakyusa.
Huyu kila siku yuko kwenye vile vi gosari vya CCM opposite na ilipokua baa ya Bob's, ni kweli huyu jamaa ni boya sana na mpenda misifaHuwa anapendelea kwenda Bar gani huyu, tumfatilie.
One of the very few humble men i know in town - mrangi .Nna mwaka sahv bar sijakanyaga.
Sehemu zang za kunywa najichanganya na wazee au kwa mangi.
Hapo lemax pembeni kna saloon moja ya jamaa mmja anaitwa shafii nilikuwa nkipita hapo naishia hapo kama bia zinanyweka nje.
Huyo jamaa nishabahatika ona makeke yake mitaa hiyo.
Ah mambo ya bar sjui kidimbwi huko sahv hawatupati mzee maana ss wengine wanyonge.
Tusije tukatolewa uhai bure[emoji23][emoji23].
Nmekoswakoswa kwenyw matukio ya bar zaidi ya 8 mambo ya kwenye vilevi nna uzoefu napo sana sema uzuri si wengine hatunaga hasira tunajua namna ya kudeal na watu.
Mtu akikutukana akikusukuma inshalahhh
Ova
Huwa anapendelea kwenda Bar gani huyu, tumfatilie.
Acha Kutusingizia Wakurya Mkuu. Huwa hatutishii Mtu kwa 'Bastola' bali ni kwa 'Mapanga' na huwa 'tunachinja' kweli pale tu 'ukituzingua' na hatutanii.Huyu naye ni wa hapa hapa Sinza kwa Remi, ana bastola lakini ana akili kama za yule aliyeua, msijesema hatukuwaambia, enyi polisi, huyu hutoa silaha hadharani na kutishia.
Nilitaka kushangaa MNYAKYUSA wa jina hilo...?Hakuna MNYAKYUSA aitwe Koroso nakataa,hilo jina hamna kule huyo pimbi katoka huko Moshi
Huyo mtoto wa Mungai ana pesa kweli, au anatengeneza propaganda ili aonekane anazo nyingi? Kwa sababu mzee wake kuwa waziri sio kipimo cha yeye kuwa na pesa ndefu. Nafikiri anajaribu kuwatia watu hofu ili aonekane anazo, na aogopwe.Polisi wa Tanzania ni wapuuzi sana, wanaongea utafikiri wanaelewa wanafanya nini kumbe hamna kitu. Kuna yule mtoto wa waziri wa zamani (Marehemu Mungai), jamaa kila akilewa au akiona mtoto mzuri analazimisha kuwa naye akamle na siagi....jamaa wa huyo mtoto akiingilia anatishiwa kushutiwa bastola na polisi wanalijuwa hili suala ila wako kimya tu, wanasubiri mtu afe waje kujitapatapa hapa.
Bongo muhuni akiwa na bastola anatishia na kuua kweli aisee...zipo sehemu una bastola yako watu wanaiona kama simu tuu na wakiamua kukuchukulia wanakuchulia tuu na wanajua bastola unayo vile vile...Polisi wa Tanzania ni wapuuzi sana, wanaongea utafikiri wanaelewa wanafanya nini kumbe hamna kitu. Kuna yule mtoto wa waziri wa zamani (Marehemu Mungai), jamaa kila akilewa au akiona mtoto mzuri analazimisha kuwa naye akamle na siagi....jamaa wa huyo mtoto akiingilia anatishiwa kushutiwa bastola na polisi wanalijuwa hili suala ila wako kimya tu, wanasubiri mtu afe waje kujitapatapa hapa.
Acheni kusingizia wachagga kila kitu huyo jamaa ni mnyakyusa, wachagga wote hatuko hivo 😅😅Nilitaka kushangaa MNYAKYUSA wa jina hilo...?
Kabisa..... Nadhani Polisi walikosea kumpa bastola, sinza kwa remi baa zote wanamjua, hata chenji ikipungua anatoa bomba, ubishi kidogo anatoa bastolaNimemshuhudia huyu jamaa mara nyingi in short kwa Remi Kuna wavuta bangi wenye silaha kitu ambacho ni hatari
Hahaha. Ulikuwa pale Mlango Mmoja?Nyasho mtaa nimekaa sana
Naaam, umepiga mulemule, watu was hivi wanyanganywe bomba, mtu anapewa bastola wakati shughuli zake hazisababishi maisha yake yawe hatariniHuyu kila siku yuko kwenye vile vi gosari vya CCM opposite na ilipokua baa ya Bob's, ni kweli huyu jamaa ni boya sana na mpenda misifa