Sinza kuna mtu anaitwa Wambura, naye hutishia watu bastola hadharani

Sinza kuna mtu anaitwa Wambura, naye hutishia watu bastola hadharani

Sheria ya kumiliki silaha iangaliwe upya... chini ya miaka 40 ni tatizo kubwa...

Sasa mnaona jamaa katuachia mkewe - tufanyeje ssa sisi majirani?
haha.... Tuache masihala yule muuaji wa sinza alikuwa below 40yrs!!!. Sura yake tu inaonesha yule mtu ni above 45
Sema tu alikuwa na akili za kijana wa miaka ya 30s, sometimes sura na muonekano wa mtu ubainisha tabia za mtu, yule muuaji ukimwangalia tu kitaalam utagundua ni mtu mpenda sifa na mjivuni kitu ambacho baadhi ya mashuhuda na watu waliokuwa karibuu nae wamethibitisha asa tabia ya kupenda kuonyesha siraha anapkuwa bar.
 
Sheria ya kumiliki silaha iangaliwe upya... chini ya miaka 40 ni tatizo kubwa...

Sasa mnaona jamaa katuachia mkewe - tufanyeje ssa sisi majirani?
Ajali moja ya bodaboda usikufanye uache kupanda usafiri wa bodaboda... asante
 
Nadhani ifike mahali Serikali kabla haijampa mtu kibali cha kumiliki sihala ni vizuri akapimwe akili.
Ukizingatia kuwa kwa utafiti uliofanyika huko nyuma kwamba kati ya Watanzania 4 mmoja ni kichaa,huenda Hawa vichaa ndio wanaomilikishwa silaha!
 
Kwahiyo hadi post hii niko na na vichaa 22 humu jf.
Mbona siko salama aisee
 
Mi nadhani kilichowekwa salama hapo ni hiko kimondo alichokuwa akiringia. Ni kama kumtoa meno na kucha Simba halafu unampa kibali cha kuzurura mjini maana jamaa bila bastola atakuwa kama nyuki wa mashine au joka la kibisa
maana jamaa bila bastola atakuwa kama nyuki wa mashine au joka la kibisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu naye ni wa hapa hapa Sinza kwa Remi, ana bastola lakini ana akili kama za yule aliyeua, msijesema hatukuwaambia, enyi polisi, huyu hutoa silaha hadharani na kutishia.
Wakuria walivyo na akili fyatu ataua huyo, Polisi tafadhali sana mnyanganyeni hiyo silaha
 
Alex Korosso wachaga wamemkana. Huyu ni MNYAKYUSA wa Mbeya. Wachaga wakiua huwa hawajiui na wao. Ukiona mtu kajiua ujue ni mhehe au mnyakyusa.
Wachaga kwa wiki hii wamekua ni watu wa hovyo kuwahi kutokea. Matukio mfululizo kuwahusu ndgu zao tuu.

Usiwatetee ni waoo, wanyaki hawana ujinga huo. Na kuna mchaga mwingine skuli aliwahi kunywa sumu aisee, now days wana mentality gani sijui.

Tatizo wengi wamehamia dar wamekua rojorojo mnooo😂😂
 
Sheria ya kumiliki silaha iangaliwe upya... chini ya miaka 40 ni tatizo kubwa...

Sasa mnaona jamaa katuachia mkewe - tufanyeje ssa sisi majirani?
Muheshimuni huyo mdada,bado ni shemeji yenu tu
 
Huyo mtoto wa Mungai ana pesa kweli, au anatengeneza propaganda ili aonekane anazo nyingi? Kwa sababu mzee wake kuwa waziri sio kipimo cha yeye kuwa na pesa ndefu. Nafikiri anajaribu kuwatia watu hofu ili aonekane anazo, na aogopwe.
Familia ya Mungai ni wenye pesa mno. Wanamiliki mashamba makubwa ya Chai na pia Kampuni ya Chaibora ni matajiri sana
 
Huyu naye ni wa hapa hapa Sinza kwa Remi, ana bastola lakini ana akili kama za yule aliyeua, msijesema hatukuwaambia, enyi polisi, huyu hutoa silaha hadharani na kutishia.
Mkuu umeripoti kituo chochote cha polisi? Hebu mpigepicha nenda nayo kituo cha polisi wasipokusikiliza nenda pale Wizara ya Mambo ya Ndani ukatoe taarifa. Maana polisi wakati mwingine ni wazinguaji sana.
 
Back
Top Bottom