mzushi flani
JF-Expert Member
- Jan 20, 2020
- 1,627
- 2,473
pale dodoma nlicheki jamaa wa kujiita usalama wa taifa kaibiwa bastola(mguu wa kuku) kuna wahuni wamepinda sana[emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nihangaike nini na mzoga?Bado unahangaika na hayati? Busara ikuongoze
na huyu jamaa ndiye mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa iringaMlieni taiming mumnyanganye hiyo silahaa kabla hajasababisha madhara zaidi,mkitegemea sana police itakula kwenu, police huwa wanasubiri hadi Jinai itendeke ndiyo wanajitokeza!!
Namjua wambura mmja anaitwa wambura.RAnachokitafuta atakipata
Mbona nishawahi pigwa risasi na nka surviveYaani unavyoongea mkuu unaona kabisa kuna chuki baina ya walio nacho na nyie msionacho
Wenye chuki hasa ni nyie msionacho....
Hili ni tatizo lenu sio lao
Wewe kama unavamia my own personal freedom lazima nikuweke sawa
Mengine unayoongea hayana msingi zaidi ya wivu na maneno ya juu juu tu
Huna bunduki kama wao usiwaonee wivu,na wewe tafuta yako
Kila mmiliki bunduki nchi hii mnamuita mshamba,yaani nyie masikini mna shida sijui tuwasaidieje
Ndugo whistle blower tafadhali tuliza Chinembe chako 😅😅😅Huyu naye ni wa hapa hapa Sinza kwa Remi, ana bastola lakini ana akili kama za yule aliyeua, msijesema hatukuwaambia, enyi polisi, huyu hutoa silaha hadharani na kutishia.
Mtu mwenye silaha usimsogeleeee kaa naye mbaliMkuu
Ni sawa
Hizo ni personal experiences zako nobody cares about
Tunachotaka hapa ni tabia ya ku vilify people owning legal guns
People with legal weapons happen to be rich class of our society sababu wana hela ya kulipia leseni na kununua hizi bunduki
The problem is,kila gun owner Tanzania hii leo anaitwa mshamba,na hawa masikini wasio own any gun
Ukiangalia wala hata sio suala la usalama wanalojifanya wanalishadadia bali the root cause of all this hatred ni class issue
Kila Mtanzania angekua na uwezo wa kumiliki bunduki,tusingekua na huu mjadala hapa wa kuitana majina ya kimasikini hivi
Hii ni class issue,masikini kulalamikia matajiri wenye uwezo wa kumiliki bunduki
Hakuna masikini Tanzania hii leo akipewa umiliki wa bunduki bure akatae
Stop this hatred based on false claims and envy
weka picha yake. Tukimbie maeneo yote anayotembelea.Huyu naye ni wa hapa hapa Sinza kwa Remi, ana bastola lakini ana akili kama za yule aliyeua, msijesema hatukuwaambia, enyi polisi, huyu hutoa silaha hadharani na kutishia.
Nilisikiliza mashuhuda wa tukio la huyo jamaa kuua. Marehemu aliyepigwa risasi kosa lake kubwa ni kumfuata mlevi mwenye silaha, tena ameshamrisha DJ azime muziki na kupiga risasi mbili juu eti kumpa tahadhari aache bugdha. Alichotakiwa kufanya ni kumlia timing na kumpokonya ile silaha bila kutoa onyo lolote. Alitakiwa kijipima kama anaweza kumdhibiti na afanye hivyo kwa haraka bila kumsemesha. Vinginevyo alitakiwa kuondoa haraka sana eneo la tukio. Hivi huyo afisa usalama anayesemekana alikuwepo hakuna na silaha am-shoot? Au pengine alikuwa hajabeba silaha.Mtu mwenye silaha usimsogeleeee kaa naye mbali
Take it from me
Ova
Kwenye sehemu za pombe kushikakuwepo na mambo ya silaha lazima watu watapasuana tuNilisikiliza mashuhuda wa tukio la huyo jamaa kuua. Marehemu aliyepigwa risasi kosa lake kubwa ni kumfuata mlevi mwenye silaha, tena ameshamrisha DJ azime muziki na kupiga risasi mbili juu eti kumpa tahadhari aache bugdha. Alichotakiwa kufanya ni kumlia timing na kumpokonya ile silaha bila kutoa onyo lolote. Alitakiwa kijipima kama anaweza kumdhibiti na afanye hivyo kwa haraka bila kumsemesha. Vinginevyo alitakiwa kuondoa haraka sana eneo la tukio. Hivi huyo afisa usalama anayesemekana alikuwepo hakuna na silaha am-shoot? Au pengine alikuwa hajabeba silaha.
Kwa hiyo ndio atishie wenzake na bastola? Huo ushamba, mbona familia ya Mo inapesa huenda mara 100 ya hizo lakini hatusikii watoto wake au ndugu wakifanya upuuzi? Marehemu mzee Mengi je? Huo ulimbukeni, kuna watu wana 'mihela' sio pesa, ila hawana upuuzi huo. Bro, nowdays kama issue ni mashamba makubwa, basi ni wengi wanayo, makampuni makubwa pia wengi wanayo, huyo ni masikini aliyepata, na ndio maana makalio yamelia mbwata.Familia ya Mungai ni wenye pesa mno. Wanamiliki mashamba makubwa ya Chai na pia Kampuni ya Chaibora ni matajiri sana
Wenye fedha hujitahidi wasionekane wana fedha. Na wasiyo nazo hujitahidi waonekane wana fedha.Kwa hiyo ndio atishie wenzake na bastola? Huo ushamba, mbona familia ya Mo inapesa huenda mara 100 ya hizo lakini hatusikii watoto wake au ndugu wakifanya upuuzi? Marehemu mzee Mengi je? Huo ulimbukeni, kuna watu wana 'mihela' sio pesa, ila hawana upuuzi huo. Bro, nowdays kama issue ni mashamba makubwa, basi ni wengi wanayo, makampuni makubwa pia wengi wanayo, huyo ni masikini aliyepata, na ndio maana makalio yamelia mbwata.
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Atakuwa mshamba wa mwigobero!!!Nyasho mtaa nimekaa sana
Ndipo mtambuka ulipo hapo, mtu akiwa na mashamba makubwa na kampuni ya chai huitwa tajiri, kumbeee! Basi leo nimeelewa.Wenye fedha hujitahidi wasionekane wana fedha. Na wasiyo nazo hujitahidi waonekane wana fedha.
Nyuki wa mashine duuuu miaka imekwenda wapi Mamndenyimaana jamaa bila bastola atakuwa kama nyuki wa mashine au joka la kibisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha hakuna mkuu..One of the very few humble men i know in town - mrangi .
Simaanishi kuwa atishie watu kwa bastola ila nimesema kuwa wana uwezo kwa kuwa kuna mtu amesema kuwa anajimwambafy aonekane ana hela. Ndio maana nikasema hela wanayoKwa hiyo ndio atishie wenzake na bastola? Huo ushamba, mbona familia ya Mo inapesa huenda mara 100 ya hizo lakini hatusikii watoto wake au ndugu wakifanya upuuzi? Marehemu mzee Mengi je? Huo ulimbukeni, kuna watu wana 'mihela' sio pesa, ila hawana upuuzi huo. Bro, nowdays kama issue ni mashamba makubwa, basi ni wengi wanayo, makampuni makubwa pia wengi wanayo, huyo ni masikini aliyepata, na ndio maana makalio yamelia mbwata.
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app