Sinza kuna mtu anaitwa Wambura, naye hutishia watu bastola hadharani

Sinza kuna mtu anaitwa Wambura, naye hutishia watu bastola hadharani

pale dodoma nlicheki jamaa wa kujiita usalama wa taifa kaibiwa bastola(mguu wa kuku) kuna wahuni wamepinda sana[emoji16][emoji16]
 
Mlieni taiming mumnyanganye hiyo silahaa kabla hajasababisha madhara zaidi,mkitegemea sana police itakula kwenu, police huwa wanasubiri hadi Jinai itendeke ndiyo wanajitokeza!!
na huyu jamaa ndiye mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa iringa
 
Anachokitafuta atakipata
Namjua wambura mmja anaitwa wambura.R
anatumiaga hurrier nyeusi shuguli zake anafanya mambo ya minara ya sim
Yeye ndy anakuwaga na ushamba huo
Ana kaka yake mmja anaitwa wambura.V anatangaza radio
Sasa sijui ndy huyu mleta mada anayemzungumzia

Ova
 
Yaani unavyoongea mkuu unaona kabisa kuna chuki baina ya walio nacho na nyie msionacho

Wenye chuki hasa ni nyie msionacho....

Hili ni tatizo lenu sio lao

Wewe kama unavamia my own personal freedom lazima nikuweke sawa

Mengine unayoongea hayana msingi zaidi ya wivu na maneno ya juu juu tu

Huna bunduki kama wao usiwaonee wivu,na wewe tafuta yako

Kila mmiliki bunduki nchi hii mnamuita mshamba,yaani nyie masikini mna shida sijui tuwasaidieje
Mbona nishawahi pigwa risasi na nka survive

Nimeishi nchi bunduki watu wnazitumia kama toys

Haya maisha hakuna mtu yoyote anayeweza ntisha au kunimbia lolote

Ova
 
Huyu naye ni wa hapa hapa Sinza kwa Remi, ana bastola lakini ana akili kama za yule aliyeua, msijesema hatukuwaambia, enyi polisi, huyu hutoa silaha hadharani na kutishia.
Ndugo whistle blower tafadhali tuliza Chinembe chako 😅😅😅
 
mtu Hana hata adui wa kutisha usalama wake,Wala sio bil.ia anahangaika na manati ya wakoloni kiunoni,unakuta mala achomoe achomeke kwenye mfeleji wa makalio,mala achomoe aweke kwenye uanaume,hawa dawayao unamlia timing unakakoki halafu unakaacha pale pale kwenye mfeleji wa makalio yake .
 
Mkuu

Ni sawa

Hizo ni personal experiences zako nobody cares about

Tunachotaka hapa ni tabia ya ku vilify people owning legal guns

People with legal weapons happen to be rich class of our society sababu wana hela ya kulipia leseni na kununua hizi bunduki

The problem is,kila gun owner Tanzania hii leo anaitwa mshamba,na hawa masikini wasio own any gun

Ukiangalia wala hata sio suala la usalama wanalojifanya wanalishadadia bali the root cause of all this hatred ni class issue

Kila Mtanzania angekua na uwezo wa kumiliki bunduki,tusingekua na huu mjadala hapa wa kuitana majina ya kimasikini hivi

Hii ni class issue,masikini kulalamikia matajiri wenye uwezo wa kumiliki bunduki

Hakuna masikini Tanzania hii leo akipewa umiliki wa bunduki bure akatae

Stop this hatred based on false claims and envy
Mtu mwenye silaha usimsogeleeee kaa naye mbali

Take it from me

Ova
 
Huyu naye ni wa hapa hapa Sinza kwa Remi, ana bastola lakini ana akili kama za yule aliyeua, msijesema hatukuwaambia, enyi polisi, huyu hutoa silaha hadharani na kutishia.
weka picha yake. Tukimbie maeneo yote anayotembelea.
 
Mtu mwenye silaha usimsogeleeee kaa naye mbali

Take it from me

Ova
Nilisikiliza mashuhuda wa tukio la huyo jamaa kuua. Marehemu aliyepigwa risasi kosa lake kubwa ni kumfuata mlevi mwenye silaha, tena ameshamrisha DJ azime muziki na kupiga risasi mbili juu eti kumpa tahadhari aache bugdha. Alichotakiwa kufanya ni kumlia timing na kumpokonya ile silaha bila kutoa onyo lolote. Alitakiwa kijipima kama anaweza kumdhibiti na afanye hivyo kwa haraka bila kumsemesha. Vinginevyo alitakiwa kuondoa haraka sana eneo la tukio. Hivi huyo afisa usalama anayesemekana alikuwepo hakuna na silaha am-shoot? Au pengine alikuwa hajabeba silaha.
 
Kwenye sehemu za pombe kushikakuwepo na mambo ya silaha lazima watu watapasuana tu
Watu washalewa hapo hakuna kusikilizana
Suluhisho hapo ni kukaa mbali tu

Ova
 
Familia ya Mungai ni wenye pesa mno. Wanamiliki mashamba makubwa ya Chai na pia Kampuni ya Chaibora ni matajiri sana
Kwa hiyo ndio atishie wenzake na bastola? Huo ushamba, mbona familia ya Mo inapesa huenda mara 100 ya hizo lakini hatusikii watoto wake au ndugu wakifanya upuuzi? Marehemu mzee Mengi je? Huo ulimbukeni, kuna watu wana 'mihela' sio pesa, ila hawana upuuzi huo. Bro, nowdays kama issue ni mashamba makubwa, basi ni wengi wanayo, makampuni makubwa pia wengi wanayo, huyo ni masikini aliyepata, na ndio maana makalio yamelia mbwata.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Wenye fedha hujitahidi wasionekane wana fedha. Na wasiyo nazo hujitahidi waonekane wana fedha.
 
Ila kuna watu washamba jamani!?? Yan bastola ni kitu cha kutambia kweli!?? Yan masikini wanatabu sana
 
One of the very few humble men i know in town - mrangi .
Hahaha hakuna mkuu..
Ila kama ndiyo huyo wambura.R nmpatapata
Anatumia harrier nyeusi,anapiga kazi za minara ya sm,si unajua kna vijisentisenti
Kaka yake ndy najuana naye ni mtangazaji wa radio moja hivi ila kaka ni mtaratibu
Huyu W.R alisomaga mashuja hpo
Kuna wkt fulani nlikuwa dar nlienda mtembelea
Mwanangu mmj hapo sinz anaitwa kbby
Nlimuona huyo W anawazingua watu fulani I
Ilikuwa shikamo pesa pale,ikabd kaka zake tumuweke sawa aache mambo hayo
Kiukweli kama hatobadilika basi atakuja ingia matatizoni naye

Ova
 
Kwa hiyo ndio atishie wenzake na bastola? Huo ushamba, mbona familia ya Mo inapesa huenda mara 100 ya hizo lakini hatusikii watoto wake au ndugu wakifanya upuuzi? Marehemu mzee Mengi je? Huo ulimbukeni, kuna watu wana 'mihela' sio pesa, ila hawana upuuzi huo. Bro, nowdays kama issue ni mashamba makubwa, basi ni wengi wanayo, makampuni makubwa pia wengi wanayo, huyo ni masikini aliyepata, na ndio maana makalio yamelia mbwata.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Simaanishi kuwa atishie watu kwa bastola ila nimesema kuwa wana uwezo kwa kuwa kuna mtu amesema kuwa anajimwambafy aonekane ana hela. Ndio maana nikasema hela wanayo
 
Back
Top Bottom