Hongera sana kwa Jeshi la Police! Malimbukeni wote wanyangwe hizo silahaa, silahaa inatakiwa apewe Mtu anaejitambuwa ambae anaweza hata kutumia silahaa yake kuokoa au kusaidia Jamii na hiyo silahaa yake badala ya kutishia watu hadi kufikia kutowana uhai kisa unamiliki Beretta!!
Alimtishia polisi na bastola! Na bado yuko hai? Daah labda hiyo siku polis hawakua na silaha Anabahati sana na asirudie tena akitoka huko maana polis wana roho ya kishetan sana wangemtandika risas za kutosha