Sinza: Madada Poa 25 na Wateja wao 5 wadakwa na Polisi

Upungufu wa akili timamu ndio kigezo cha kwanza cha kukufanya upate cheo ndani ya CCM.
Mnashindwa ku deal na masuala ya msingi mna deal na vitu visivyo na tija na wala hata sio changamoto. Wengine tunakutana na nyie kwenye machimbo ya kutafuna warembo ila mkitokea kwenye camera/media mnajifanya mbogo. Acheni ujinga
 
Tukiweka mambo ya kidini, kiimani pembeni ukitumia logic kidogo ni kuwa huyu sio mkuu wa wilaya mwenye kujua kazi yake anata umaarufu kirahisi tu ...hao watu wanatoa Huduma kwa matakwa yao hawalazimishwi sio watoto wadogo ni watu wazimq waacha watajua wenyewe na Mungu wao ila Huyo mkuu wa wilaya nadhani hiyo nafasi imesha mpwaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…