Sinza: Madada Poa 25 na Wateja wao 5 wadakwa na Polisi

Sinza: Madada Poa 25 na Wateja wao 5 wadakwa na Polisi

Ni vyema mkuu wa wilaya wakaendelea kumpa historia ya jiji la Dar es salaam ili aisje kuwa anakatisha usingizi wake bure

Wakuu ombi langu kwenu shindano linakaribia kufungwa

 
Na hao dada poa kwanini wanataka kila mtu ajue wao dada poa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alama ya mashoga ni upinde, wanataka kila tukiona rangi ya upinde tujue ni wao?
Haya kaka Coca niambie malaya ana harakati gani au movement gani anayofosi ajulikane?

Kama nyie mnafosi mjulikane, basi kila mtu angetaka kufosi ajulikane na atqmbulike kwa kile alichokua nacho dunia ingekuaje? Mfano mie nina mboo ndefu na mie nianzishe movement na wenzangu dunia nzima ya kutaka ulimwengu mzima unitambue kwa kuwa na uboo mrefu na nipewe na haki?

It's waste of ⏲, wewe kama unataka kuwa shoga jifungie ndani kwako uite wanaume wakunyooooshe mpaka uridhike ila sio kutaka kuwaaminisha watoto na dunia nzima eti kila mtu anahaki ya kuwa shoga.
 
Ukimuohoji mdada mmoja hapo utasikia aliamua kuingia kwenye biashar hiyo baada ya TRA,au jiji kuua biashara yake.
Asilimia 80 ya mafanikio kwenye biashara yanamtegemea mjasiriamali, (mfanya biashara), asilimia 20 ni mjasiriamali na yanayomzinguka kwenye hayo kuna mambo makuu manne yaliyo jificha, 1. Maamuzi ya kisiasa ambayo yanaweza sabisha biashara zikue ama kufa, 2. JINSi gani serikali iliyoko madarakani imejipanga kuinua kipato cha mtu mmojammoja, 3.shughuli mbalimbali za watu na elimu za watu hao huchagiza biashara eneo husika,4.mabadiliko ya teknolojia je wananchi wanaufamu wa kutosha kuweza kubadilika jinsi teknolojia inavyo badilika kwa mfano kuna baadhi hawawezi kufanya wenyewe miamala kwenye simu mpaka msaada wa mtu mwingine, (wakala) ama vinginevyo. Baada ya kusema hayo hii asilimia 20, Ina nguvu hata kuuwa biashara kama jamii zetu zitaendelea kufumba macho kwakuto buni mbinu za kukabiliana na hayo yaliyo jificha ambayo mjasiriamali ama mfanya biashara hana ubavu nayo, bahati nzuri ninajuvunia kwamba Nina andika la kwanini biashara zinakufa na nini kifanyanyike, pia naandika kitabu cha ujasiriamali ambacho utakisoma unakiweka kwapani unaanzisha biashara yaani simama dede, (stay tuned)
 
Kuna situation nyingine sio za kuomba uzipitie imagine na wewe ni miongoni mwa wanaume watano mliokamatwa mkinunua papuchi kwanza unawaambia nini watu. Kazini wanakutafuta unawaambia nipo selo kwa kosa lipi na umekamatwa sinza wakati unaishi kibamba
Yaani kama una laki ya fasta unatoa ila kama hauna mbona rangi zote utaona.
 
Back
Top Bottom