The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Ni kweli,hao unaowaona barabarani ni cheap,ila hao wa gharama wamo maofisini tunafanya nao kazi kila siku
Hujawahi jiuliza msichana yuko single miaka nenda rudi anapata 350,000/= kwa mwezi,hana biashara yoyote,familia yao ni ya kawaida kabisa lakini anaendesha Forester ya m35 na kuendelea(full ac daily) ,analipa nyumba 400,000/= kwa mwezi.anaenda vacation Turkey dubai.Nadhani serikali ilitakiwa iwe inawahoji watu wa namna hii.
Grades tu zinatofautiana.