Sinza: Madada Poa 25 na Wateja wao 5 wadakwa na Polisi

Sinza: Madada Poa 25 na Wateja wao 5 wadakwa na Polisi

Asilimia 80 ya mafanikio kwenye biashara yanamtegemea mjasiriamali, (mfanya biashara), asilimia 20 ni mjasiriamali na yanayomzinguka kwenye hayo kuna mambo makuu manner, 1. Maamuzi ya kisiasa ambayo yanaweza sabisha biashara zikue ama kufa, 2. JINSi gani serikali iliyoko madarakani imejipanga kuinua kipato cha mtu mmojammoja, 3.shughuli mbalimbali za watu na elimu za watu hao huchagiza biashara, 4.mabadiliko ya teknolojia je wananchi wanaufamu wa kutosha kuweza kubadilika jinsi teknolojia inavyo badilika kwa mfano kuna baadhi hawawezi kufanya wenyewe miamala kwenye simu mpaka msaada wa mtu mwingine, (wakala) ama vinginevyo. Baada ya kusema hayo hii asilimia Ina nguvu hata kuuwa biashara kama jamii zetu zitaendelea kufumba macho kwakuto buni mbinu za kukabiliana na hayo yaliyo jificha ambayo mjasiriamali ama mfanya biashara hana ubavu nayo, bahati nzuri ninajuvunia kwamba Nina andika la kwanini biashara zinakufa na nini kifanyanyike

Hongera mkuu kwa kudadavua .tafadhali ukituwekea sammary ya hizo sababu halisia (practical reasons siyo zile za vitabuni) zinazofanya biashara kufa.ikipendeza kwa kila aina ya biashara.hasa biashara zile za kawaida (maduka,ufugaji,kilimo,mamantilie,genge) nk
 
Hongera mkuu kwa kudadavua .tafadhali ukituwekea sammary ya hizo sababu halisia (practical reasons siyo zile za vitabuni) zinazofanya biashara kufa.ikipendeza kwa kila aina ya biashara.hasa biashara zile za kawaida (maduka,ufugaji,kilimo,mamantilie,genge) nk
Haa wee inahitaji muda na bundle, kila biashara itakuwa na changamoto zake na mpango wake wa biashara yaani andiko la mpango wa biashara, hakuna andiko la mpango wa biashara kwa biashara zote lakini nimeandika dodoso la maswali ukilijibu utakuwa umeandika mpango wako wa biashara husika japo inatakiwa kuwa na template yaani mfano wa andiko la mpango wa biashara hata 2 hivi siyo kazi rahisi narudia binadamu ana akili sana lakini binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri 😂, la (practical skills), ni sifa za mjasiriamali ambazo zipo nilizo zijengea dhana yake Kwa jina langu dhana inaitwa HARABA tool ambazo ni sifa msingi Kwa kila mjasiriamali ama mfanya biashara kuenenda ili aweze kufanikiwa, yajayo yanafurahisha
 
Alfajiri hii nimekuta sehemu anashauri wana JF bora kununua kikojoleo.🤣

Basi anahitaji maombi ya ziada na semina elekezi.

Lakini Bado sijaelewa jambo Moja, inamaana huu msako unalenga baadhi ya maeneo au ukikutwa popote unaombwa cheti Cha ndoa?

Namaanisha wanaweza kuvamia nyumba ya wageni na kuanza purukushani zao?
 
Basi anahitaji maombi ya ziada na semina elekezi.

Lakini Bado sijaelewa jambo Moja, inamaana huu msako unalenga baadhi ya maeneo au ukikutwa popote unaombwa cheti Cha ndoa?

Namaanisha wanaweza kuvamia nyumba ya wageni na kuanza purukushani zao?
Tumsaidie sana kwa hilo ..


Huo msako hauwezi kufika nyumba za wageni,utaishia maeneo "danguro,na sehemu wanazovizia wateja wao(vijiwe mfano barabarani na sehemu za starehe"vijiwe vyao)

ila wauzaji wengine wameisha ,ngozi zao kama ndizi ya kuvundika.
 
Kuna machangudoa wengi tu umefanya nao. Wanakuwa wamevaa ushungi, magauni marefu, wanakuwa wanafanya kazi ofisini au wapo nyumbani. Wanakuita Love au Babe. Wengi tu sema hujui.
Ni kweli,hao unaowaona barabarani ni cheap,ila hao wa gharama wamo maofisini tunafanya nao kazi kila siku

Hujawahi jiuliza msichana yuko single miaka nenda rudi anapata 350,000/= kwa mwezi,hana biashara yoyote,familia yao ni ya kawaida kabisa lakini anaendesha Forester ya m35 na kuendelea(full ac daily) ,analipa nyumba 400,000/= kwa mwezi.anaenda vacation Turkey dubai.Nadhani serikali ilitakiwa iwe inawahoji watu wa namna hii.
 
Back
Top Bottom