Sinza: Madada Poa 25 na Wateja wao 5 wadakwa na Polisi

Moja ya wakuu wa wilaya mpumbavu ni huyu
 
Heko kwa jeshi letu la Polisi.
Operesheni hii isipowe hadi jiji liwe safi.
Dar es Salaam bila biashara ya ukahaba inawezekana.
tukomeshe hii tabia ili tupunguze maambukizi ya Ukimwi kwwnye jamii yetu.
 
Suluhisho ni economic empowerment. Haya yatapungua kiasi. Ukahaba hauwezi kubisha kws kukamatwa watu. Tangu enzi za Yusuph Makamba mpaka Kandoro Dar makaha walikuwa wanakamatwa ila Leo wameongezeka.
 
Kuna situation nyingine sio za kuomba uzipitie imagine na wewe ni miongoni mwa wanaume watano mliokamatwa mkinunua papuchi kwanza unawaambia nini watu. Kazini wanakutafuta unawaambia nipo selo kwa kosa lipi na umekamatwa sinza wakati unaishi kibamba
 
Unawaambia tu mi nilikuwa napita njia nimetoka Karikoo naenda stendi ya Kibamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…