Sinza na Mwenge kuna matatizo makubwa sana

Waache wadada wavae dela bila chupi...cha muhimu kuwa makini jilinde na ujikinge...usipougua ngoma utaugua gono..😁😁
 
Kuanzia Shekilango hadi Bamaga kuna laaana tu. Mabaharia wa Mjini wooote unaowajua wanaVimichepuko kanda hiyo. Biashara waliyoamua kuwafungulia Bibie wadogo zao ni Biashara ya Nguo, vipodozi na Saluni. Inshort Sinza kucheleeeee
 
Shekilango mpaka bamaga so ndiyo sinza yenyewe!!?
 
Napitaga mara moja moja haya maeneo
But yanatia kinyaa...
Chapombe kama wote, ma bar yamejazana tu kama vile uliletwa duniani kulewa

Wanawake wasiojistiri ndio kwao huku
Si ajabu kupishana na jitu zima kabisa lakin uvaaji wake ni matatizo tu

Kuna haja ya serikali kuyapiga sanitizers haya maeneo.
Tena ya nguvu, kiwango cha SGR

Uzi tayar
Umefuata nini huko panapotia kinyaa?
 
Napitaga mara moja moja haya maeneo
But yanatia kinyaa...
Chapombe kama wote, ma bar yamejazana tu kama vile uliletwa duniani kulewa

Wanawake wasiojistiri ndio kwao huku
Si ajabu kupishana na jitu zima kabisa lakin uvaaji wake ni matatizo tu

Kuna haja ya serikali kuyapiga sanitizers haya maeneo.
Tena ya nguvu, kiwango cha SGR

Uzi tayar
Nenda Tabata sasa ndio utajua hujui shetani alizaliwa wapi, kakulia wapi na anaishi wapi
 
Back
Top Bottom