Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ukanda wa Gaza wale kuku walikua wanapangwa mchana, saa mbili usiku wamekwisha.Sasa hivi hayo maeneo ni ya kibiashara zaidi. Maofisi, maduka, mahoteli, na apartments. Gone are those days, gambe zinaanzia Shekilango mpaka Bamaga