Ukanda wa Gaza wale kuku walikua wanapangwa mchana, saa mbili usiku wamekwisha.Sasa hivi hayo maeneo ni ya kibiashara zaidi. Maofisi, maduka, mahoteli, na apartments. Gone are those days, gambe zinaanzia Shekilango mpaka Bamaga
Mijimama inatembea na vichupiAisee .... ngoja niende mwenge nikathibitishe. .
Mpaka msikitin wanavaa wanawake viminiSasa mkuu hao unaowaita Chapombe, umewahi kuwapatia hata mia mbovu?
Au hao unaosema hawajistiri, umewahi kuwasaidia nini au wamekupunguzia kitu gani kwenye maisha yako?
Makanisani kwenyewe siku hizi watu wanavaa vimini na mataiti.
Nipo mwenge hapa saa hii.... emby nielekeze nipite chochoro ipi aisee.... nielekee huku kwa mwingira au nipite huku mlalakuwa? Au kule cocacola? Au sokoni.... nataka nione dela bila chupi sasa hivi nifurahi....Mijimama inatembea na vichupi
Wala hata haijali
Itakuwa ulienda kufanya hio research yako ukiwa chakari
Ndo wapi?Unafikiri watu wote wanaishi Buza?