ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Kuna wazazi viherehere, hasa wamama kupigia mabinti simu za mara Kwa mara, tena kuongelea hadi faragha za wanaenda hao
Binti akifikia umri wa kuolewa na kuamua kuolewa, heshimu uamuzi wake huo, kupiga simu asubuhi na jioni kiherehere
Kijana amelala na Binti yake aliyemuoa alfajiri anapata morning glory, mama mkwe unapiga simu kuulizia hali, hicho ni kiherehere
Mchana simu, jioni simu haipendezi
Subiri basi upigiwe na wanandoa hao
Mnaongea mara Kwa mara hadi unakuwa mshauri wa ndoa
Na mnavojifanya mna upendo kwa mabinti zenu akikushirikisha changamoto ya ndoa yake, Huwa mnashauri kuvunja ndoa na talaka
Kumpigia mara Kwa mara Binti yako kwenye ndoa sio upendo ni kiherehere na kero tu