One day utakuwa baba/mama mkwe usitukane mamba kabla hujavuka mtoKuna wazazi viherehere, hasa wamama kupigia mabinti simu za mara Kwa mara, tena kuongelea hadi faragha za wanaenda hao
Binti akifikia umri wa kuolewa na kuamua kuolewa, heshimu uamuzi wake huo, kupiga simu asubuhi na jioni kiherehere
Kijana amelala na Binti yake aliyemuoa alfajiri anapata morning glory, mama mkwe unapiga simu kuulizia hali, hicho ni kiherehere
Mchana simu, jioni simu haipendezi
Subiri basi upigiwe na wanandoa hao
Mnaongea mara Kwa mara hadi unakuwa mshauri wa ndoa
Na mnavojifanya mna upendo kwa mabinti zenu akikushirikisha changamoto ya ndoa yake, Huwa mnashauri kuvunja ndoa na talaka
Kumpigia mara Kwa mara Binti yako kwenye ndoa sio upendo ni kiherehere na kero tu
Sasa si umwambie kuwa hupendi anavopiga piga simu huyo Mama mkwe wako.Kuna wazazi viherehere, hasa wamama kupigia mabinti simu za mara Kwa mara, tena kuongelea hadi faragha za wanaenda hao
Binti akifikia umri wa kuolewa na kuamua kuolewa, heshimu uamuzi wake huo, kupiga simu asubuhi na jioni kiherehere
Kijana amelala na Binti yake aliyemuoa alfajiri anapata morning glory, mama mkwe unapiga simu kuulizia hali, hicho ni kiherehere
Mchana simu, jioni simu haipendezi
Subiri basi upigiwe na wanandoa hao
Mnaongea mara Kwa mara hadi unakuwa mshauri wa ndoa
Na mnavojifanya mna upendo kwa mabinti zenu akikushirikisha changamoto ya ndoa yake, Huwa mnashauri kuvunja ndoa na talaka
Kumpigia mara Kwa mara Binti yako kwenye ndoa sio upendo ni kiherehere na kero tu
InshallahUkijaliwa kufika umri wa miaka arobaini au hamsini na kuendelea ukiwaangalia watoto wako ipo siku utatamani bibi na babu zao wangekuwepo. Pia siku zinakuja utatamani siku zirudi nyuma hao wakwe zako wangekuwa wanawapigia simu ila haitawezekana tena.
🤣🤣🤣 kijana umechafukwa wanapiga simu ka dozi ya UTIKuna wazazi viherehere, hasa wamama kupigia mabinti simu za mara Kwa mara, tena kuongelea hadi faragha za wanaenda hao