Sio kila anaeenda choon bar anaenda kujisaidia wengine wanaenda kuhesabu salio wasiaibike

Sio kila anaeenda choon bar anaenda kujisaidia wengine wanaenda kuhesabu salio wasiaibike

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Jana nilikuwa bar moja natafuta usingizi wangu ghafla nikasikia haja ndogo nilipoingia chooni nikakuta mwamba mmoja akihesabu mzigo wake wa kumikumi nikajua huyu jambo linaenda kumkuta

Nikakumbuka Desemba 2024 Moshi Marangu nilikuwa nimekaa na girlfriend wangu pamoja na ndugu zake nikazungusha nikaanza kupata vibe kichwani nikasema hapa nina Visa Card woi ntatoa popote

Nikazungusha zungusha eeh kama ule wimbo ghafla nikaomba billion nikarudi chooni kuhesabu nikaona nina pungufu 40

Kwa Claraaa wale wanaojua Wachaga pale Marangu nikazunguka nyuma fasta nikakamata pikpik himo

Nikaenda kutoa hela na wakati nikipita nikaweka kindege nikatoroka

Nikiwa njiani ikasoma message zilizotumwa naanza kuulizwa we vipi au umetukimbia?

Tok siku hiyo nikienda bar lazima niwe na kiasi fulani kwenye shati
 
Back
Top Bottom