the truther
Member
- Sep 28, 2024
- 19
- 33
Mimi ni mwanaume mwenye miaka41, nipo mzima kiafya na ni mcha MUNGU.
Niliwahi kuleta Uzi humu kuhusu kupata shida ya kupata mke sahihi, nilikuwa napata wapitaji. Sasa juzi, Kuna ushahidi nimeupata (recorded) mtu alienilea tangu mtoto, anasema, Mimi sitaoa au kuwa na familia maisha yangu yote.
Kisa nilikataa kumuoa mwanamke alienipangia..kipindi kile nilikua Sina chochote nisingeweza kumuoa..
Mind you huyu mtu ni kiongozi mkubwa kanisa Moja hapo Mwenge la mtume na nabii.
Nimeaamua kupambana nae, Kwa nguvu za MUNGU nitafanikisha hili jambo..
NAWASILISHA