Sio kila anayechelewa kuoa anapenda

Sio kila anayechelewa kuoa anapenda

the truther

Member
Joined
Sep 28, 2024
Posts
19
Reaction score
33
Mimi ni mwanaume mwenye miaka41, nipo mzima kiafya na ni mcha MUNGU.

Niliwahi kuleta Uzi humu kuhusu kupata shida ya kupata mke sahihi, nilikuwa napata wapitaji. Sasa juzi, Kuna ushahidi nimeupata (recorded) mtu alienilea tangu mtoto, anasema, Mimi sitaoa au kuwa na familia maisha yangu yote.

Kisa nilikataa kumuoa mwanamke alienipangia..kipindi kile nilikua Sina chochote nisingeweza kumuoa..

Mind you huyu mtu ni kiongozi mkubwa kanisa Moja hapo Mwenge la mtume na nabii.

Nimeaamua kupambana nae, Kwa nguvu za MUNGU nitafanikisha hili jambo..

NAWASILISHA
 
Uzi wako sijui una malengo gani? Kutangaza ulokole wako au kutafuta mke?
 
Sasa kama tabia zako ndo hizi
FB_IMG_17380745470415101.jpg
 
Mimi ni mwanaume mwenye miaka41, nipo mzima kiafya na ni mcha MUNGU.

Niliwahi kuleta Uzi humu kuhusu kupata shida ya kupata mke sahihi, nilikuwa napata wapitaji. Sasa juzi, Kuna ushahidi nimeupata (recorded) mtu alienilea tangu mtoto, anasema, Mimi sitaoa au kuwa na familia maisha yangu yote.

Kisa nilikataa kumuoa mwanamke alienipangia..kipindi kile nilikua Sina chochote nisingeweza kumuoa..

Mind you huyu mtu ni kiongozi mkubwa kanisa Moja hapo Mwenge la mtume na nabii.

Nimeaamua kupambana nae, Kwa nguvu za MUNGU nitafanikisha hili jambo..

NAWASILISHA
Duh!..
 
Pole sana! Utaoa kwa Jina la Yesu! Hata mimi nilitamkiwa maneno kama hayo na demu tuliyeachana! Nilifuta maneno yake kwa damu ya Yesu, nilioa na nina watoto watatu! Usiogope, mwamini Yesu! Mwombe yeye naye atakujibu!
 
Mimi ni mwanaume mwenye miaka41, nipo mzima kiafya na ni mcha MUNGU.

Niliwahi kuleta Uzi humu kuhusu kupata shida ya kupata mke sahihi, nilikuwa napata wapitaji. Sasa juzi, Kuna ushahidi nimeupata (recorded) mtu alienilea tangu mtoto, anasema, Mimi sitaoa au kuwa na familia maisha yangu yote.

Kisa nilikataa kumuoa mwanamke alienipangia..kipindi kile nilikua Sina chochote nisingeweza kumuoa..

Mind you huyu mtu ni kiongozi mkubwa kanisa Moja hapo Mwenge la mtume na nabii.

Nimeaamua kupambana nae, Kwa nguvu za MUNGU nitafanikisha hili jambo..

NAWASILISHA
Kweli wengine wana vifungo vya kutooa. Mtu kutokuoa kuna mengi nyuma yake
 
Kuna mdada Yuko huku mbezi Beach nikuunganishe Nate muwe mnafanya maombi ya siku tatu ghetto kwako usiku na mchana,na yeye ana tatizo kama lako, n-pm, mi ntakuwa Nampa nauli na chakula asitumie hata sh Yako kwa siku hizo tatu za maombi, kwa miezi sita 😆😆😆
 
Fanya hivi

Chukua mkojo wa Ahsubui hakikisha unaunenea na kuambia kuwa na Navunja laana zote na matamko mabaya dhidi ya maisha yangu

Fanya hivi Kwa siku Saba

Hii ndo Dawa ya kuondoa hayo mambo.
Huu ujinga sijui utaisha lini?Wa mtu kuamini mkojo unatatua tatizo. Safari bado ndefu sana
 
Back
Top Bottom