Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Mfano wake hauna uhalisia. Hapa nilipo nina kibiriti cha gesi. Nimekitikisa sana na hakijanilipukia.
Kibiriti chako cha rangi gani mkuu?Mfano wake hauna uhalisia. Hapa nilipo nina kibiriti cha gesi. Nimekitikisa sana na hakijanilipukia.
Ni vile transparent vinauzwa mia tano mia tano tu. Nina kiboksi kizima hapa Mhishimiwa Waziri. Nakuhakikishia hakijalipuka. Labda nijaribu kibiriti kingine.Kibiriti chako cha rangi gani mkuu?
Anajiona yuko salama kumbe ameegemea nguzo iliyoliwa na mchwa ndani kwa ndaniHili Dongo ni kwa Nchimbi, ila akae akijua tetesi zinasema anayefuata ni yeye.
Moja ya waziri mkuu wa hovyo na haramu kuwahi kutokea nchi hii basi ni hiki kiazi mbatata MWIGULUNi vile transparent vinauzwa mia tano mia tano tu. Nina kiboksi kizima hapa Mhishimiwa Waziri. Nakuhakikishia hakijalipuka. Labda nijaribu kibiriti kingine.
๐คฃ๐๐๐น๐๐ ๐คญMfano wake hauna uhalisia. Hapa nilipo nina kibiriti cha gesi. Nimekitikisa sana na hakijanilipukia.
Huenda naye anajiona yuko kwenye kundi la Mafisi wakuu.Anajiona yuko salama kumbe ameegemea nguzo iliyoliwa na mchwa ndani kwa ndani
CCM hawaachiani maji mezani
CCM kuna mafisi, kauli za rais mstaafu jk
Taratibu mdau, mbavu zinaniuma..Ni vile transparent vinauzwa mia tano mia tano tu. Nina kiboksi kizima hapa Mhishimiwa Waziri. Nakuhakikishia hakijalipuka. Labda nijaribu kibiriti kingine.
Ila vijana๐คฃNi vile transparent vinauzwa mia tano mia tano tu. Nina kiboksi kizima hapa Mhishimiwa Waziri. Nakuhakikishia hakijalipuka. Labda nijaribu kibiriti kingine.
๐คฃTaratibu mdau, mbavu zinaniuma..
๐คญ๐ ๐๐น๐๐๐คฃ
HahahaMfano wake hauna uhalisia. Hapa nilipo nina kibiriti cha gesi. Nimekitikisa sana na hakijanilipukia.
Huyu ni Waziri Mkuu bora kuwa kutokeaMoja ya waziri mkuu wa hovyo na haramu kuwahi kutokea nchi hii basi ni hiki kiazi mbatata MWIGULU
๐๐Mfano wake hauna uhalisia. Hapa nilipo nina kibiriti cha gesi. Nimekitikisa sana na hakijanilipukia.
Kibiriti cha rangi ya kijani na manjano ndo ukikitikisa kinalipuka hii inatokana na KANI YA MUUNGANO kati ya rangi ya kijani na manjanoNi vile transparent vinauzwa mia tano mia tano tu. Nina kiboksi kizima hapa Mhishimiwa Waziri. Nakuhakikishia hakijalipuka. Labda nijaribu kibiriti kingine.
Sio mashahidi wa Lissu kweli? Fikra zinanituma hivyo.Hili Dongo ni kwa Nchimbi, ila akae akijua tetesi zinasema anayefuata ni yeye.