Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Hahaha yani ukiropoka Tu Inakula kwakoWaheshimiwa Majaji shahidi alisema Sio Kila Kiberiti ni cha kutikisa, Vingine ni vya gesi vitalipuka. Sasa nampa hiki kiberiti cha gesi akitingishe kama kitalipuka😂
Huoni mafisi yalishaanza kutafunana yenyewe kwa yenyewe yanatoana mainiHuenda naye anajiona yuko kwenye kundi la Mafisi wakuu.
Kundi la mnyika, au hili la upande wao??Sio mashahidi wa Lissu kweli? Fikra zinanituma hivyo.
Kumbuka shahidi yupo chini ya kiapo😂Hahaha yani ukiropoka Tu Inakula kwako
Kwa kweli.Huoni mafisi yalishaanza kutafunana yenyewe kwa yenyewe yanatoana maini
Hata utikise boksi zima, havilipuki..Ni vile transparent vinauzwa mia tano mia tano tu. Nina kiboksi kizima hapa Mhishimiwa Waziri. Nakuhakikishia hakijalipuka. Labda nijaribu kibiriti kingine.
Phrase "mashahidi wa Lissu" iko very clear wala haihitaji ufafanuzi. Walioingia uvunguni!Kundi la mnyika, au hili la upande wao??
Basi sawa, nimekupata.Phrase "mashahidi wa Lissu" iko very clear wala haihitaji ufafanuzi. Walioingia uvunguni!
Uoga 🙄 !Mfano wake hauna uhalisia. Hapa nilipo nina kibiriti cha gesi. Nimekitikisa sana na hakijanilipukia.