Sio kila mfanyabiashara ni Mfanyabiashara,Chagua mtu sahihi wa kumshirikisha mawazo yako

Sio kila mfanyabiashara ni Mfanyabiashara,Chagua mtu sahihi wa kumshirikisha mawazo yako

Kuna uzi upo humu niliweka na kuna mtu akasema niachane na hiyo biashara kisa nimepata 300k kwa mwezi
Ukimtafuta huyo mtu ukute kaajiriwa analipwa 600k kwa mwezi

matumizi yote yapo humo humo ndani ya hiyo hela anayoona nyingi.
 
Uoga wako ndo umaskini wako.
Kila biashara inafanyika ukiisimamia kwa moyo mmoja

Kabisa !! Pia ni vizuri kutambua ya kuwa kwa kila jambo ingawa haizuiwi kusikiliza ushauri, uamuzi wa mwisho unabaki kwa mtu mwenyewe. Personal decision is very important !!!!
 
Back
Top Bottom