Sio kila mtu ni muandishi mzuri wa thread..

Sio kila mtu ni muandishi mzuri wa thread..

Daughterrr

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2019
Posts
474
Reaction score
583
Sababu sitaki kuamini JF imejaa wahuni tupu, nimekuja tena na ntakuja tena na tena mbaka nipate mtu wa maana, mana kutongoza siwezi labda sababu mm ni mdada sijui.
Mmoja alikua chapombe nkampotezea
Mmoja alikua malaya nkampotezea yeye siku ya kwanza tu alitaka game...aloo!
Mmoja alikua hajipendi yaan hatukuendana.
Wote hao ni wa JF.
By the way kama uliwahi wasiliana namm usinitafute tena kwa mara nyingine mama uyu wa mwisho ndo kituko nisamehe kwa kukuandika, uyo yeye anajifanya mpole husband material but anaonekana hajui anataka nn nilimuelewa sana na kumpenda sana ila nimeona hatuendani sijui shida ni distance ama nn
Ila na wengine muache viherehere mtu kashasema anataka mtu wa dar nyi wa mbali mnafata nn? Matokeo yake tunashindwana.

UZI TAYARI.
 
Pole jamani. Jf kuna watu vichwa ngumu balaa
1737262818900.jpg
 
Back
Top Bottom