Sio kila mtu ni muandishi mzuri wa thread..

Sio kila mtu ni muandishi mzuri wa thread..

Uko sawa kbsa
Kuna watu tunajua kuongea na kuwaza ila atujui kuwakilisha hayo mawazo ktk maandishi
Uko sawa kbsa tunatumia nguvu kubwa kumfanya mtu aelewe nn tunamaanisha
 
Itabidi mwanangu wa kiume nimwandalie kisichana mapemaa...
Ishakua tabu...
 
Back
Top Bottom