Sio kila mtu ni muandishi mzuri wa thread..

Sio kila mtu ni muandishi mzuri wa thread..

Sababu sitaki kuamini JF imejaa wahuni tupu, nimekuja tena na ntakuja tena na tena mbaka nipate mtu wa maana, mana kutongoza siwezi labda sababu mm ni mdada sijui.
Mmoja alikua chapombe nkampotezea
Mmoja alikua malaya nkampotezea yeye siku ya kwanza tu alitaka game...aloo!
Mmoja alikua hajipendi yaan hatukuendana.
Wote hao ni wa JF.
By the way kama uliwahi wasiliana namm usinitafute tena kwa mara nyingine mama uyu wa mwisho ndo kituko nisamehe kwa kukuandika, uyo yeye anajifanya mpole husband material but anaonekana hajui anataka nn nilimuelewa sana na kumpenda sana ila nimeona hatuendani sijui shida ni distance ama nn
Ila na wengine muache viherehere mtu kashasema anataka mtu wa dar nyi wa mbali mnafata nn? Matokeo yake tunashindwana.

UZI TAYARI.
Nijaribu mm hutojutia akiamungu nifie hapa

Karibu pm my
 
Kosa la mleta mada ni lipi? Mbona alichokiandika hakina uhusiano na kujiuza wala matatizo ya akili
Kwa mwanamke hauwezi kuelewa lakini wanaume especialy sisi street nigaz tayari kuna code tushazifungua, kwa ufupi huu uandishi tu wa mtoa post sio mwanamke wa kuingia nae kwenye serious relationship.

Ni kama malalamiko ya wanaume kwamba wanawake wamekua ombaomba kuna wanawake ambao hawataelewa wataona jinsia yao inasimangwa kwa sababu izo hela huwa amuombani wenyewe kwa wenyewe
 
Back
Top Bottom