Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
Daughterrr kazi kwako.....angeweka vigezo vyake hapa,
ngoja nimpe format;
mahali unapoishi ..............................
umri ...............................
dini ..............................
ajira ...............................
maumbile (urefu...............) (uzito..............) (rangi..............)
watoto kama wapo.
ataje na vigezo vya mwanaume anayemtaka kwa muundo huo
kwa namna hiyo ataondoa mkanganyiko.
namtakia utafutaji mwema.
Ila kuna jambo moja limesahaulika na umuhimu hapa ambalo ni UNA MATAKO? Bila ya hivyo hata kukuona hatutaki