Sio kila mwanamke anafaa KUOLEWA wengine wameumbwa kwa ajili ya kusterehesha wanaume ukilazimisha kumuoa wa namna hiyo basi kama sio jela utakufa tu

Nakubaliana na wewe
 
Joyce anayelilia kuhongwa pesa ya kusuka huku akiwadanganya wanwake wenzake eti ni Superwoman
 



sipendagi saana kudiscuss mambo ya marehemu ndio maana huwa najaribu kuweka mazingatio based kwenye tukio lililotokea na sio tabia za wahusika..... lakini pia unaweza kuhukumu jambo kwa picha kuubwa ya nje sio lazima uwe insider...maana hawa wote ni binadamu na tabia zao zinajulikana kwenye jamii tena Binti ni maarufu mjini kutokana na harakati zake.... (inaweza kuwa negative au positive)..

Anyway tuyaache haya yakuchimba saana mambo ya ndani ya marehemu japo binafsi nina taaarifa za ndani kwa ndani na kinachoweza kuwa chanzo kikubwa kwa Bwana Said kuchukua hatua husika na inawezekana ndio hata kilichomtoa huko ziwani na kurudi nyumbani haraka..

Hili la Tabia za dada zetu, ndugu zetu nk, nina experience nalo kulingana na mahusiano meeengi ya huku na kule ikiwemo na zile mechi za papo kwa papo za race tofauti tofauti nje na ndani.... Hii ni research binafsi kuanzia wa uswahili, ushuani, waliosoma tena vyuo vikuu na ambao hawajasoma..... Kila unayekuwa naye unajaribu kupima uelewa kwa siku ulizokuwa naye tena wengine ni wa hadhi kuubwa sana....
NIMETOA ZINGATIO KWENYE MALEZI YA DADA ZETU MAANA BINAFSI NDIO NAONA WAKO HATARINI SANA HATUA ZISIPOCHUKULIWA..

Hili hata wewe kama ni Me unaweza kulifanya utagundua kitu japo MTAZAMO PIA UNATOFAUTIANA...
 
Mtaongea mengi ila kichwa cha familia hakikuwa na akili fullstop.
Sio nyie mnasemaga mnatumia akili sana wakati mnaoa, ndio muanze kuzitathmini akili zenu
 
Mwanaume usi-date na mwanamke anayekujua hali yako ya maisha.

Asijue unafanya kazi gani na wapi?!

Usijioneshe kuwa na neema na riziki.

Kuwa neutral (nusu sado)!

Usiwe mwepesi wa kuhonga pesa itaku-cost zaidi wewe na familia yako iwapo tayari unayo.

Sanasana mtakapokuwa mnakutana muwe mnakula na kunywa na Gharama nyingine kama vile relating vanue n.k

Epuka kabisa maswala ya Eti kumlipia kodi ya nyumba/chumba wala kumpa pesa!

Wanaume bahili harogwi na hategeshewi mimba na mwanamke.

Anajua akitegesha itakula kwake ingawa hata wanaume wahongaji huwa hawako tayari kutoa ruzuku za mimba na malezi ya mtoto kwa mwanamke ambae si mkewe na hawajakubaliana kuzaa pamoja.

Mwanaume mhongaji anajiweka kwenye high risk ya kurogwa yeye na mkewe kama anaye , Pia Mwanaume mhongaji chances za kutegeshewa mimba na wanawake huwa ni kubwa sana.

Tafakarini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…