Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Kama mali zilikuwa na thamani ya milioni 500 bado alikuwa maskini tu
Kwa Tanzania yetu hii ni tajiri mkuu,imagine kuna familia ukoo mzima mali zao zikiuzwa hazifiki hata milioni [emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mali zilikuwa na thamani ya milioni 500 bado alikuwa maskini tu
😂😂😂😂😂 una kazindika kbs unakafanya ndondocha ukitoka visiwan unakakuta kanacheka Cheka tu hakaendi tena kushangilia ma Simba na yanga wala kwny miziki uck
Unaweza jikuta unahangaika kumwelewesha mtu anae lala debuleni kwa shemejiKwa uchumi wa kibongo ni mtu mwenye kipato Cha kati huyo sio masikini anajiweza ingawa ni kweli hajawa tajiri.
Nakubaliana na weweWakuu kufuatia tukio lililotokea juzi jijini mwanza kwa wanandoa kutoana uhai basi nimeona nitoe ushauri wangu kidogo kuhusu hili jambo.
Namfahamu Oswayo vizuri Sana ni mfanyabiashara wa samaki aina ya sangara na Kwa aina ya u chumi wa Tanzania ana Mali ambayo ikipigiwa hesabu sio chini ya million 500.Kwa ufupi anajiweza Sana.
Kamuwezesha marehemu mke wake kwa kumfungulia saloni nzuri hapa mwanza na ndiyo chanzo Cha huyu mwanamke kuwa maalufu mitandaoni.
Huyu bwana sio kwamba ana mke mmoja tu ngoja nisiingie Sana ndani.Lakini inavoonekana Sababu kubwa hadi mauaji ni uwekezaje alioufanya kwa mke wake na matokeo yake ikaonekana mwanamke sio mwaminifu kwenye ndoa.kwa hiyo jamaa alimuua mke kwa Sababu ya dharau yani nimekutoa kwenye umasikini Leo unavimba na kunisaliti kwa kutumia Mali yangu na wanaume wenguline .
Ndugu zangu usije logwa ukaoa mwanamke kahaba ukazani ukimwezesha kiuchumi ataacha huo ukahaba ni big no na ndicho kimeikuta hii ndoa.
Sijahukumu lakini nimeandika ili tujifunze.
Jamaa kaacha wategemezi kibao na Mali zake kisa mwanamke kahaba.
Mmh? kuwa makini na maneno yako.Kama mali zilikuwa na thamani ya milioni 500 bado alikuwa maskini tu
Sikuungi mkono. Mkuu unatandika ukiwa huna pesa??Yaani NIBABE kuvuta pisikali sasa nani atawaradisha ..viumbe tuvichape tu tena kiuhakika ikibidi UTUNDIKIWE NA DRIPU
Joyce anayelilia kuhongwa pesa ya kusuka huku akiwadanganya wanwake wenzake eti ni SuperwomanWazazi tufundishe watoto madhara ya tamaa, Wazazi tuwakuze watoto kwenye maadili mema, Wazazi hasa akina mama wafundisheni watoto wakike wajue ni maana ya kuwa watoto wa kike na nafasi yao nini...MSIWAACHE WAKAFUNDISHWA NA AKINA JOYCE KIRIA, au kuwaona akina Wolper ndio marole model wao..
... Mkuu kusema humpendi mtu,una tamaa za mali zake,ni kumuhukumu to me, social grounds walishea kitanda kimoja na hio couple?...
...Mabinti wetu wa kitanzania wakoje? how different from chinese girls?, Indian girls?.. msitupakie watoto wetu wa kike wetu matope!..lol
...siku njema mkuu, nimejisikia tu kukujibu, kila mtu humu trust me amejifunza, maangalizo kwa kutumia reference ya dada wa watu sio vizuri!...
... Mkuu kusema humpendi mtu,una tamaa za mali zake,ni kumuhukumu to me, social grounds walishea kitanda kimoja na hio couple?...
...Mabinti wetu wa kitanzania wakoje? how different from chinese girls?, Indian girls?.. msitupakie watoto wetu wa kike wetu matope!..lol
...siku njema mkuu, nimejisikia tu kukujibu, kila mtu humu trust me amejifunza, maangalizo kwa kutumia reference ya dada wa watu sio vizuri!...
[emoji16][emoji16]Ukute kwenu bado mnapikia jiko la kuni.
Hao mabikra wenyewe mbona hamuwaoi sasaSifa kuu ya mke wa ndoa, utamkuta bikra. Nasubiri matusi
"she belongs to the streets"