Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo hao walioweka mziki ndio wameamrishwa na dini sio ? kifungu gani ? nionyesheJuzi nilikuwa narudi kwangu mida ya saa12 jioni nimechoka kinyama nakaribia kwangu nakutana na matundubai yamepigwa njia-panda yaani hakuna namna ya kuweza kupita na gari kufika kwangu maana waliweka njia-panda ya njia nne. Aise nilitamani kulia, Sehemu ni uswahilini hakuna sehemu ya kupaki halafu naambiwa shughuli ni hadi alfajiri nilichoka sana.
Dhehebu pekee iliyostarabika ni Wakatoliki huwakuti na mamiziki mikubwa wala makelele yasiyo na sababu wala kuziba njia zinanzotumiwa na watu wengine.
Hahahhahhahaaahaaaaa jini furuqumTena wasije kukusikia unalalamika watakutangazia fatwa na hata kukutupia jini furuqum
Umeanza kwa hoja nzuri lakini mwishoni dini imezidi uwezo wako wa kufikiria. Wote hatuwezi kuwa kama wewe Sheikh. Ukweli hizi kelele ziwe zinatoka kwenye makanisa ya misikiti zinakera sana hasa zinapokuwa mda wa mtu kupumzika.NinaKaa karibu na pub wanapiga mziki kucha ila haiwezi kuniathiri kabisa maana kila mtu ni eneo lake .
Hakuna ushahidi kwamba unakosa usingizi , ni wewe ndio unafuatilia ..
Hao wajinga , mtu wanapiga mziki wa sabufa ...Mtu wanaenda bar kweny mziki ila adhana tu ndio inamkera.vipi kuhusu yale makanisa asubuh na mapema wanaomba na kuabudu kuanzia saa 11 had saa 12 asubuh
ukiishi nyumba yenye vioo wala uwezi sikia haya mambo shida ipo kwetu wazee wa nyavuuuuuuuuuuHao wajinga , mtu wanapiga mziki wa sabufa ...Mtu wanaenda bar kweny mziki ila adhana tu ndio inamkera.
Ukienda Aiport kuna matangazo kila mda bado wanasema eti inawakera yaani wabongo ni wajinga sana ....Mtu una usingizi mtu anapiga kelele zake huko upo ndani kwako eti usipate usingizi kama sio ujinga ni nn?
Haiwezi kukera kwa vile upo ndani kwako ,haupo serious na usingizi , wtu wanakaa bar kweny mziki na kufanya mijadala unaongea nn wewe ?Umeanza kwa hoja nzuri lakini mwishoni dini imezidi uwezo wako wa kufikiria. Wote hatuwezi kuwa kama wewe Sheikh. Ukweli hizi kelele ziwe zinatoka kwenye makanisa ya misikiti zinakera sana hasa zinapokuwa mda wa mtu kupumzika.
Yanakera sana kama hizo adhana tu.vipi kuhusu yale makanisa asubuh na mapema wanaomba na kuabudu kuanzia saa 11 had saa 12 asubuh
Japo si kero kubwa kuliko kero za walevi na wapiga muziki hata hivyo hao wanaomsha watu kwa namna hizo ni jukumu la masheikh wenzake kumfahamisha vizuri.Nipo jirani na msikiti,
Kuanzia saa 10 alfajiri,
Kuna shehe huyo amekuwa mtangazaji wa muda,
"Sasa hivi ni saa 10 dakika 20 ewe muislamu jiandae kuamka,
Swala swala,!
Na anaendelea kutaja muda mpaka inafika saa 11 alfajiri.."
Kwakweli hebu tunaomba msaada wenu,
Ni kweli hakuna namna ya kuamshana nyie tu bila kutukera sisi?
Au nchi hii yenu pekee yenu?
Kwani hamuwezi kutegesha alarm mkaamka wenyewe mpaka mpigiwe kelele za kuamshwa kutokea mbali?
Yaani tunatafuta pesa kwa shida,
Usingizi unakuja kwa shida,
Na asubuhi asubuh ukianza kupata usingizi mtamu unaamshwa kwa lazima
Nisameheni sana lakini mnakera walah wabilah!
Hao jamaa utaumiza kichwa , unakuta limetoka bar kweny mziki eti adhana inamfanya asilale kama sio kufuatilia vitu vinavyomuhusu .Hao wanaomsha watu kwa namna hizo ni jukumu la masheikh wenzake kumfahamisha vizuri.
Lakini kwenye adhana huwezi kutupangia kuwa tutumie alarm kwani adhana ni wito wa muda mfupi tena kwa sauti ya heshima sana.Na wito huu una maana nyingi kidini yetu ya Uislamu.
Hahaha unalijua nini jini furuqumHahahhahhahaaahaaaaa jini furuqum
UlifanyajeJuzi nilikuwa narudi kwangu mida ya saa12 jioni nimechoka kinyama nakaribia kwangu nakutana na matundubai yamepigwa njia-panda yaani hakuna namna ya kuweza kupita na gari kufika kwangu maana waliweka njia-panda ya njia nne. Aise nilitamani kulia, Sehemu ni uswahilini hakuna sehemu ya kupaki halafu naambiwa shughuli ni hadi alfajiri nilichoka sana.
Dhehebu pekee iliyostarabika ni Wakatoliki huwakuti na mamiziki mikubwa wala makelele yasiyo na sababu wala kuziba njia zinanzotumiwa na watu wengine.
Anazungumzia Adhana maneno yasiyozidi Dak 2.Kaa tayari wanakuja..!
Utaoga matusi kama yote, hawa watu na matusi ni sawa na chura na maji.
Kama sauti zao kali zinatoka nje na kukera wengine, ni makosa piavipi kuhusu yale makanisa asubuh na mapema wanaomba na kuabudu kuanzia saa 11 had saa 12 asubuh
Af sikusoma Jina LA mtoa maada ila Leo kalalamika kwenye Haki kweli waweke alarm halafu ya msikitini ilie nusu dakika tu inatoshaUtalala kaburini unaambiwa..
WASHUKURU SISI MAKAFIRI TUMEWATENGEZEA SPIKA ZA KUPAZIA SAUTI .LA SIVO WANGEPASUKA MAKOO KWA KUPAZA SAUTI UTAZANI MAJOGOO WANAO WIKANipo jirani na msikiti,
Kuanzia saa 10 alfajiri,
Kuna shehe huyo amekuwa mtangazaji wa muda,
"Sasa hivi ni saa 10 dakika 20 ewe muislamu jiandae kuamka,
Swala swala,!
Na anaendelea kutaja muda mpaka inafika saa 11 alfajiri.."
Kwakweli hebu tunaomba msaada wenu,
Ni kweli hakuna namna ya kuamshana nyie tu bila kutukera sisi?
Au nchi hii yenu pekee yenu?
Kwani hamuwezi kutegesha alarm mkaamka wenyewe mpaka mpigiwe kelele za kuamshwa kutokea mbali?
Yaani tunatafuta pesa kwa shida,
Usingizi unakuja kwa shida,
Na asubuhi asubuh ukianza kupata usingizi mtamu unaamshwa kwa lazima
Nisameheni sana lakini mnakera walah wabilah!