Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Kwenye haya maisha kuna vitu huwa tunajitia wasi wasi na mashaka, mwisho wa siku unakuta mtu anahangaika Kuanzia ujana hadi uzeeni yeye ni wa kuamka saa kumi na moja kurudi saa mbili usiku. Cha maana anachofanya zaidi Sana ni kula, kulala, kujenga nyumba baasi.
Sio kwamba hayo Mateso ukiyaacha utakufa au utalala njaa hapana! Ni hofu Tu na woga wa maisha huenda Ukiachia hiyo Ajira ya Mateso utafungua akili na milango mingine ya mafanikio ila lazima kwanza upate msoto, na huo msoto ndio watu wengi wanaogopa.