Serikali ina wafanyakazi LAKI 7.Ni ushauri Tu, kuchukua au kutouchukua ni maamuzi yako
Sekta binafsi ina ajira rasmi LAKI 3.
TZ ina watu wenye uwezo wa kifanya kazi MILIONI 30.
Sioni sababu ya kukomaa na kushauri watu ambao hata milioni 2 hawafiki.
Serikali ina wafanyakazi LAKI 7.Ni ushauri Tu, kuchukua au kutouchukua ni maamuzi yako
Hahah na hao watu military 29 wanafanya kazi ganiSerikali ina wafanyakazi LAKI 7.
Sekta binafsi ina ajira rasmi LAKI 3.
TZ ina watu wenye uwezo wa kifanya kazi MILIONI 30.
Sioni sababu ya kukomaa na kushauri watu ambao hata milioni 2 hawafiki.
You are rightKuacha kazi sio jambo jepesi wengi wao wanaacha kwa stress au changamoto zilizopo kazi
wachache wanaacha wakiwa na malengo ya kufanya kazi sehemu nyingine au wana mtaji wa kufanya biashara
Huu ndio wasi wasi wenyewe utawafanya watu wasichukue hatua nakuishi kuwa watumwaUsiache kazi na kufanya biashara kama huna uwakika na hiyo biashara
Muache!. Kwa nini ung'ang'ane na kiumbe ambaye hayupo upande wako kimaono?.Thubutu! Zali linaanzia pale mwanamke kajua umeacha kazi, halaf et unamletea drama za "Nina ndoto kubwa, naona kabsa hii ajira itaua ndoto zangu" Utajua haujui, olewake Maisha yaanze kuzingua, ni full kununiana na visa juu!
Hahaha no Hofu Tu ya kitu ambacho hakipoWasi wasi ni akili
Alichosema bwana Man from Island, ndicho watu wengi huogopa, ni kweli Ukiachia kazi uwe Una mtaji au huna mtaji kuna kipindi cha msoto lazima upitie, na ikiwemo kutengwa na familia, jamii na marafiki, hiki ndio kinaogopesha wengi na mwisho wa siku wanaishiwa kuwa hapo hapo walipoMuache!. Kwa nini ung'ang'ane na kiumbe ambaye hayupo upande wako kimaono?.
Kaa kwenye Njia ya maono yako bila kusitasita,atakuja mwenye moyo wa dhati wa kukubeba jinsi ulivyo!
Sio Sawa Kuua Ndoto na maono yako kwa ajili ya Mwanamke unless hayo sio maono yako halisi bali umecopy maono ya wengine kwa mihemko!