Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Huu Mlango mwembamba sana na njia yake ina giza totoro watu wengi hawaupendi wengi wanapita kwenye geti kubwa kule ambako kuna mwanga piaila lazima kwanza upate msoto, na huo msoto ndio watu wengi wanaogopa.
Na wao wapewe Fursa wajitafuteHao ambao hawajapata iyo ajira vipi wao wameshafanikiwa?
Ni kweliHaiwezekani watu wote wakawa wafanya biashara
HahahaKila mtu ashinde mechi zake.
Vipi kama hayo ndio yalikua malengo yake? Bado tu hajafanikiwa hapo?Cha maana anachofanya zaidi Sana ni kula, kulala, kujenga nyumba baasi.
Uko sahihiVipi kama hayo ndio yalikua malengo yake? Bado tu hajafanikiwa hapo?
Kwahiyo wale ambao hawaja ajiriwa, wote wana vitu vya maana zaidi ya Nyumba,kula na kulala?
Kila mtu ana mipango yake kwenye maisha yake.
HahahaJichanganye
Hahaa ndio maana tunasema once unapoanza kuchukua hatua lazima ule msoto WA kufa mtu u, lakini mbele kidogo ndio huja mafanikio zaidi ya Yale ya mwanzo.Thubutu! Zali linaanzia pale mwanamke kajua umeacha kazi, halaf et unamletea drama za "Nina ndoto kubwa, naona kabsa hii ajira itaua ndoto zangu" Utajua haujui, olewake Maisha yaanze kuzingua, ni full kununiana na visa juu!
Kwanini unataabika sana na chaguo la maisha ya watu wengine kufanya kazi za ajira???Kwenye haya maisha kuna vitu huwa tunajitia wasi wasi na mashaka, mwisho wa siku unakuta mtu anahangaika Kuanzia ujana hadi uzeeni yeye ni wa kuamka saa kumi na moja kurudi saa mbili usiku. Cha maana anachofanya zaidi Sana ni kula, kulala, kujenga nyumba baasi.
Sio kwamba hayo Mateso ukiyaacha utakufa au utalala njaa hapana! Ni hofu Tu na woga wa maisha huenda Ukiachia hiyo Ajira ya Mateso utafungua akili na milango mingine ya mafanikio ila lazima kwanza upate msoto, na huo msoto ndio watu wengi wanaogopa.
Ndio Hofu yenyewe hii sasaMy dear people, usindanganuike. Utakufa
Ni ushauri Tu, kuchukua au kutouchukua ni maamuzi yakoKwanini unataabika sana na chaguo la maisha ya watu wengine kufanya kazi za ajira???
Acha niwe na hofu, nimeyapitia najuaNdio Hofu yenyewe hii sasa