Sio kweli kuwa CCM imesimika mizizi kiasi cha kutoachia dola. Bali hakuna upinzani madhubuti Zitto na Mbowe ni waganga njaa

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida.

Watu hawana hata uhakika wa kula.

Leo hii nafaka zimepaa. Wananchi wanakosa hata pesa ya kupeleka shule na kununua sare.


Maji mijini na vijijini yanapatikana kwa shida. CcM imefeli.

Imefanikiwa kupandikiza mamluki ACT Wazalendo na CHADEMA.
 
kumbe wapinzani wa kweli ni Mimi na wewe tunaoguswa na hali hii ya maisha tuache kutegemea watu
 
Umenena vyema
 
ZITTO ndio mganga nhaa hilo hata KICHAA analijua kwani CHAMA cha UPINZANI TANZANIA ni KIMOJA TU
 
Njaa ndio imekuuma kiasi hicho cha kuwakumbuka na kuwataja Mbowe na Zitto katika njaa zako?!
 
Umeandika ugoro mtupu ..anzisha na ww chama cha siasa mkuu .. acha kuanika ujinga wako mitandaoni mkuu .. anzisha uone utamu wa kuwa mpinzani ulivyo

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Mbowe na zitto ndio viongozi wa upinzani pekee nchini?

Kuna vyama 17 vya upinzani nchini, na katiba inaruhusu kuundwa vingine zaidi
Lissu anasema vyama vyengine vinatumika na ccm hivyo chama cha upinzani cha kweli ni chadema tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…