Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
ShenziNjaa ndio imekuuma kiasi hicho cha kuwakumbuka na kuwataja Mbowe na Zitto katika njaa zako?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShenziNjaa ndio imekuuma kiasi hicho cha kuwakumbuka na kuwataja Mbowe na Zitto katika njaa zako?!
Wewe pia ni mtanzania unayo haki ya kupiga na kupigiwa kura hivyo ni haki yako pia kuleta mageuzi badala ya kuwalazimisha wengine wakuletee, vinginevyo kaa kimya.Hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida.
Watu hawana hata uhakika wa kula.
Leo hii nafaka zimepaa. Wananchi wanakosa hata pesa ya kupeleka shule na kununua sare.
Maji mijini na vijijini yanapatikana kwa shida. CcM efeli.
Imefanikiwa kupandikiza mamluki ACT Wazalendo na CHADEMA.
Na Tundu Lissu akisema kitu ndio kinakuwa ukweli?Lissu anasema vyama vyengine vinatumika na ccm hivyo chama cha upinzani cha kweli ni chadema tu.
Wapo watu wenye kumuamini Tundu Lissu kwa kila analosema ni mwanasheria msomi na huwa wanamuona kuwa ni mtu spesho sana kwa sababu alipigwa zile risasi ila hakufa, hao ndio nimewawakusudia kuwakumbuasha alichokisema Lissu kuhusu vyama vya upinzani Tanzania.Na Tundu Lissu akisema kitu ndio kinakuwa ukweli?
Wewe unapims mambo kwa akili yako au ni kuchukua Tundu Lissu anachosema,?
Mizizi ya CCM ni kulindwa na jeshi la polisi.Hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida.
Watu hawana hata uhakika wa kula.
Leo hii nafaka zimepaa. Wananchi wanakosa hata pesa ya kupeleka shule na kununua sare.
Maji mijini na vijijini yanapatikana kwa shida. CcM imefeli.
Imefanikiwa kupandikiza mamluki ACT Wazalendo na CHADEMA.
Sukuma gang pole.Hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida.
Watu hawana hata uhakika wa kula.
Leo hii nafaka zimepaa. Wananchi wanakosa hata pesa ya kupeleka shule na kununua sare.
Maji mijini na vijijini yanapatikana kwa shida. CcM imefeli.
Imefanikiwa kupandikiza mamluki ACT Wazalendo na CHADEMA.
Chama cha umoja party kimenyimwa usajili hivi?Hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida.
Watu hawana hata uhakika wa kula.
Leo hii nafaka zimepaa. Wananchi wanakosa hata pesa ya kupeleka shule na kununua sare.
Maji mijini na vijijini yanapatikana kwa shida. CcM imefeli.
Imefanikiwa kupandikiza mamluki ACT Wazalendo na CHADEMA.
Huyo mtoa mada naye anamuamini Tundu Lissu kwenye kila kitu? Maana ujumbe wangu ulimlenga yeye, kuwa vyama vya upinzani vipo vingi sio lazima hivyo alivyovitajaWapo watu wenye kumuamini Tundu Lissu kwa kila analosema ni mwanasheria msomi na huwa wanamuona kuwa ni mtu spesho sana kwa sababu alipigwa zile risasi ila hakufa, hao ndio nimewawakusudia kuwakumbuasha alichokisema Lissu kuhusu vyama vya upinzani Tanzania.
Kwani wewe haumuamini alichokisema Tundu Lissu mwanasheria msomi kuhusu hoja ya vyama vya upinzani Tanzania hutumika na ccm?Huyo mtoa mada naye anamuamini Tundu Lissu kwenye kila kitu? Maana ujumbe wangu ulimlenga yeye, kuwa vyama vya upinzani vipo vingi sio lazima hivyo alivyovitaja
Sio kweli Kuna vyama vingi vizuri tu kwenye upinzani, kuna TLP, ADC, UPDP, UDP n.kKwani wewe haumuamini alichokisema Tundu Lissu mwanasheria msomi kuhusu hoja ya vyama vya upinzani Tanzania hutumika na ccm?
Chama cha upinzani hapa Tz ni kimoja tu . ChademaSio kweli Kuna vyama vingi vizuri tu kwenye upinzani, kuna TLP, ADC, UPDP, UDP n.k
Vyama sio Chadema na ACT pekee, vishaurini, viungeni mkono
Sasa ilikuwa Chadema ilishirikiana na vyama visivyo vya upinzani kwenye uchaguzi wa 2015?
Ni kwamba hivyo vyama huwa havina shida na serikali yani hukuti vinapurukushana na polisi kama ilivyo kwa Chadema, kwahiyo hivyo sio vyama upinzani vinatumika tu na ccm.Sio kweli Kuna vyama vingi vizuri tu kwenye upinzani, kuna TLP, ADC, UPDP, UDP n.k
Vyama sio Chadema na ACT pekee, vishaurini, viungeni mkono
Kumbe? Kwa hiyo unamuunga mkono Tundu Lissu kuwa hivyo vyama ni matawi ya CCM?Ni kwamba hivyo vyama huwa havina shida na serikali yani hukuti vinapurukushana na polisi kama ilivyo kwa Chadema, kwahiyo hivyo sio vyama upinzani vinatumika tu na ccm.
Sijajua Tundu Lissu anaposema hivyo ana maanisha kweli au ni siasa chafu tu, kwa sababu tumeona Chadema ikishirikiana na hivyo vyama 2015 lakini pia wakaja kushirikiana na ACT tena baada ya Tundu Lissu kutoka kusema ACT hakijawahi kuwa chama cha upinzani na akamtaja Mama Anna mgwila kuwa alipewa ukuu wa mkoa baada ya kutumwa kuvuruga upinzani.Kumbe? Kwa hiyo unamuunga mkono Tundu Lissu kuwa hivyo vyama ni matawi ya CCM?
Sasa kama vilishirikiana na Upinzani ikiwemo Chadema mwaka 2015 mbona unasema ni matawi ya CCM?Sijajua Tundu Lissu anaposema hivyo ana maanisha kweli au ni siasa chafu tu, kwa sababu tumeona Chadema ikishirikiana na hivyo vyama 2015 lakini pia wakaja kushirikiana na ACT tena baada ya Tundu Lissu kutoka kusema ACT hakijawahi kuwa chama cha upinzani na akamtaja Mama Anna mgwila kuwa alipewa ukuu wa mkoa baada ya kutumwa kuvuruga upinzani.
Sio mie niliyesema ni Tundu Lissu ndio aliyesema hivyo halafu bado chama chake kikashirikiana na hayo matawi ya ccm dhidi ya ccm, ndio maana kwamba Lissu anaposema kuwa hivyo vyama vyengine vya si vya upinzani ni matawi ya ccm huwa ana maanisha au ni siasa chafu tu?Sasa kama vilishirikiana na Upinzani ikiwemo Chadema mwaka 2015 mbona unasema ni matawi ya CCM?
Uliniuliza kwani mimi siamini anachokisema Lissu kuwa vyama vingine ni matawi ya CCM, nikakuambia siamini kuna vyama makini kama TLP, ukanijibu hilo jibu hapo juu kuwa havina purukushani na polisi, so vinatumika naNi kwamba hivyo vyama huwa havina shida na serikali yani hukuti vinapurukushana na polisi kama ilivyo kwa Chadema, kwahiyo hivyo sio vyama upinzani vinatumika tu na ccm.
Hapa unanijibu tena kuwa sio wewe uliyesema ni Tundu Lissu, mbona hueleweki?Sio mie niliyesema ni Tundu Lissu ndio aliyesema hivyo halafu bado chama chake kikashirikiana na hayo matawi ya ccm dhidi ya ccm, ndio maana kwamba Lissu anaposema kuwa hivyo vyama vyengine vya si vya upinzani ni matawi ya ccm huwa ana maanisha au ni siasa chafu tu?
Labda hukunielewa tu toka mwanzo, ni kwamba mie naelezea mitazamo ya Tundu Lissu pamoja na wanachadema kuhusu vyama vyengine vya upinzani.Uliniuliza kwani mimi siamini anachokisema Lissu kuwa vyama vingine ni matawi ya CCM, nikakuambia siamini kuna vyama makini kama TLP, ukanijibu hilo jibu hapo juu kuwa havina purukushani na polisi, so vinatumika na
Hapa unanijibu tena kuwa sio wewe uliyesema ni Tundu Lissu, mbona hueleweki?