Sio kweli kuwa CCM imesimika mizizi kiasi cha kutoachia dola. Bali hakuna upinzani madhubuti Zitto na Mbowe ni waganga njaa

Hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida.

Watu hawana hata uhakika wa kula.

Leo hii nafaka zimepaa. Wananchi wanakosa hata pesa ya kupeleka shule na kununua sare.

Maji mijini na vijijini yanapatikana kwa shida. CcM efeli.

Imefanikiwa kupandikiza mamluki ACT Wazalendo na CHADEMA.
Wewe pia ni mtanzania unayo haki ya kupiga na kupigiwa kura hivyo ni haki yako pia kuleta mageuzi badala ya kuwalazimisha wengine wakuletee, vinginevyo kaa kimya.
 
Na Tundu Lissu akisema kitu ndio kinakuwa ukweli?

Wewe unapims mambo kwa akili yako au ni kuchukua Tundu Lissu anachosema,?
Wapo watu wenye kumuamini Tundu Lissu kwa kila analosema ni mwanasheria msomi na huwa wanamuona kuwa ni mtu spesho sana kwa sababu alipigwa zile risasi ila hakufa, hao ndio nimewawakusudia kuwakumbuasha alichokisema Lissu kuhusu vyama vya upinzani Tanzania.
 
Hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida.

Watu hawana hata uhakika wa kula.

Leo hii nafaka zimepaa. Wananchi wanakosa hata pesa ya kupeleka shule na kununua sare.

Maji mijini na vijijini yanapatikana kwa shida. CcM imefeli.

Imefanikiwa kupandikiza mamluki ACT Wazalendo na CHADEMA.
Mizizi ya CCM ni kulindwa na jeshi la polisi.
 
Hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida.

Watu hawana hata uhakika wa kula.

Leo hii nafaka zimepaa. Wananchi wanakosa hata pesa ya kupeleka shule na kununua sare.

Maji mijini na vijijini yanapatikana kwa shida. CcM imefeli.

Imefanikiwa kupandikiza mamluki ACT Wazalendo na CHADEMA.
Sukuma gang pole.
 
Chama cha umoja party kimenyimwa usajili hivi?
 
Wapo watu wenye kumuamini Tundu Lissu kwa kila analosema ni mwanasheria msomi na huwa wanamuona kuwa ni mtu spesho sana kwa sababu alipigwa zile risasi ila hakufa, hao ndio nimewawakusudia kuwakumbuasha alichokisema Lissu kuhusu vyama vya upinzani Tanzania.
Huyo mtoa mada naye anamuamini Tundu Lissu kwenye kila kitu? Maana ujumbe wangu ulimlenga yeye, kuwa vyama vya upinzani vipo vingi sio lazima hivyo alivyovitaja
 
Kwani wewe haumuamini alichokisema Tundu Lissu mwanasheria msomi kuhusu hoja ya vyama vya upinzani Tanzania hutumika na ccm?
 
Sio kweli Kuna vyama vingi vizuri tu kwenye upinzani, kuna TLP, ADC, UPDP, UDP n.k
Vyama sio Chadema na ACT pekee, vishaurini, viungeni mkono
 
Ni kwamba hivyo vyama huwa havina shida na serikali yani hukuti vinapurukushana na polisi kama ilivyo kwa Chadema, kwahiyo hivyo sio vyama upinzani vinatumika tu na ccm.
 
Kuwa kiongozi imara kwa ajili ya watu wako it takes sucrifice.
 
Ni kwamba hivyo vyama huwa havina shida na serikali yani hukuti vinapurukushana na polisi kama ilivyo kwa Chadema, kwahiyo hivyo sio vyama upinzani vinatumika tu na ccm.
Kumbe? Kwa hiyo unamuunga mkono Tundu Lissu kuwa hivyo vyama ni matawi ya CCM?
 
Sijajua Tundu Lissu anaposema hivyo ana maanisha kweli au ni siasa chafu tu, kwa sababu tumeona Chadema ikishirikiana na hivyo vyama 2015 lakini pia wakaja kushirikiana na ACT tena baada ya Tundu Lissu kutoka kusema ACT hakijawahi kuwa chama cha upinzani na akamtaja Mama Anna mgwila kuwa alipewa ukuu wa mkoa baada ya kutumwa kuvuruga upinzani.
 
Sasa kama vilishirikiana na Upinzani ikiwemo Chadema mwaka 2015 mbona unasema ni matawi ya CCM?
 
Sio mie niliyesema ni Tundu Lissu ndio aliyesema hivyo halafu bado chama chake kikashirikiana na hayo matawi ya ccm dhidi ya ccm, ndio maana kwamba Lissu anaposema kuwa hivyo vyama vyengine vya si vya upinzani ni matawi ya ccm huwa ana maanisha au ni siasa chafu tu?
 
Ni kwamba hivyo vyama huwa havina shida na serikali yani hukuti vinapurukushana na polisi kama ilivyo kwa Chadema, kwahiyo hivyo sio vyama upinzani vinatumika tu na ccm.
Uliniuliza kwani mimi siamini anachokisema Lissu kuwa vyama vingine ni matawi ya CCM, nikakuambia siamini kuna vyama makini kama TLP, ukanijibu hilo jibu hapo juu kuwa havina purukushani na polisi, so vinatumika na
Sio mie niliyesema ni Tundu Lissu ndio aliyesema hivyo halafu bado chama chake kikashirikiana na hayo matawi ya ccm dhidi ya ccm, ndio maana kwamba Lissu anaposema kuwa hivyo vyama vyengine vya si vya upinzani ni matawi ya ccm huwa ana maanisha au ni siasa chafu tu?
Hapa unanijibu tena kuwa sio wewe uliyesema ni Tundu Lissu, mbona hueleweki?
 
Uliniuliza kwani mimi siamini anachokisema Lissu kuwa vyama vingine ni matawi ya CCM, nikakuambia siamini kuna vyama makini kama TLP, ukanijibu hilo jibu hapo juu kuwa havina purukushani na polisi, so vinatumika na

Hapa unanijibu tena kuwa sio wewe uliyesema ni Tundu Lissu, mbona hueleweki?
Labda hukunielewa tu toka mwanzo, ni kwamba mie naelezea mitazamo ya Tundu Lissu pamoja na wanachadema kuhusu vyama vyengine vya upinzani.
 
Back
Top Bottom