Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Okey, kwa hio hao mafisadi wanaotuibia pesa miongo na miongo wanatajirika hadi watoto wao tena wanakuja kutuongoza sisi, wenyewe hawajipatii nuksi kutokana na uchungu wanaotusababishia ila sisi masikini tunaoenda kupumzisha mihemko yetu kwa buku tano tu ndio tujichukulie manuksi yote ya mwajuma eti.
Mara ya mwisho katika mkutano wa world economic forum katika mji wa davos, wale madalali wa kuwatafutia makahaba watu waliripoti ongezeko kubwa la uhitaji wa makahaba kutokana na muingiliano wa watu mashuhuri duniani. Haya basi niambie nuksi walizonazo hawa matajri wa dunia tangu wameanza kula hawa makahaba maana kila siku tunawaona forbes na wala hatusikii vitu vya ajabu vikiwaandamana.
Too much ufuska sex inakuletea magonjwa na kupunguzia pesa na pia kuvunja ndoa kama wife akijua unakula makahaba tofauti na hapo ni myths mnatuletea tu.
Matatizo, tabu na ukata vimekuwa vikali sana , sasa tunaaanza kutaapa tapa kujua nini chanzo cha haya yote, kwa hio kama ulikuwa unakula malaya uandhania ni kwa sababu hio kumbe tu uchumi mbovu na upepo kutokufikia.