Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
WaPo japokuwa wengine waliondoka ila biashara ipo kama kawaidaHivi bado wanajiuz pale si nasikia serikali ilipavamia 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WaPo japokuwa wengine waliondoka ila biashara ipo kama kawaidaHivi bado wanajiuz pale si nasikia serikali ilipavamia 😂
Huu ni mtazamo wa baadhi ya watuOkey, kwa hio hao mafisadi wanaotuibia pesa miongo na miongo wanatajirika hadi watoto wao tena wanakuja kutuongoza sisi, wenyewe hawajipatii nuksi kutokana na uchungu wanaotusababishia ila sisi masikini tunaoenda kupumzisha mihemko yetu kwa buku tano tu ndio tujichukulie manuksi yote ya mwajuma eti.
Mara ya mwisho katika mkutano wa world economic forum katika mji wa davos, wale madalali wa kuwatafutia makahaba watu waliripoti ongezeko kubwa la uhitaji wa makahaba kutokana na muingiliano wa watu mashuhuri duniani. Haya basi niambie nuksi walizonazo hawa matajri wa dunia tangu wameanza kula hawa makahaba maana kila siku tunawaona forbes na wala hatusikii vitu vya ajabu vikiwaandamana.
Too much ufuska sex inakuletea magonjwa na kupunguzia pesa na pia kuvunja ndoa kama wife akijua unakula makahaba tofauti na hapo ni myths mnatuletea tu.
Matatizo, tabu na ukata vimekuwa vikali sana , sasa tunaaanza kutaapa tapa kujua nini chanzo cha haya yote, kwa hio kama ulikuwa unakula malaya uandhania ni kwa sababu hio kumbe tu uchumi mbovu na upepo kutokufikia.
Ha!ha! Hatari wengine mara moja moja sanaKona baa sijawahi kwenda, nakaa Manzese hvy nikiwa sina pesa hua naenda uwanja wa fisi