Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
- Thread starter
- #41
Haya ndio mazingaombwe yenyeweJana nilikuwa kwenye ferry navuka toka sengerema kwenda mwanza sasa pale kamanga nikakuta kuna tukio kuna jamaa alidubukia kwenye ziwa na kuzama ila hajaibuka sasa ni siku ya nne, kuna jamaa akawa anasema angekuwa ni mkerewe eti wangempa taarifa mama yake ile siku amepewa taarifa asile chochote anze kuondoka mpaka alipozama mwanae kisha aanze kumuita ndo atakuja, ila akila kitu mwanaye atazama mazima.😲😲 Nikashangaa hivi vitu huwa wanajitungia au wanaamini kweli, huenda jamaa alichukuliwa na mamba akahamishwa mamba anamla kidogo kidogo😄😄