Sio kweli kuwa ukifanya ngono na makahaba unajipatia nuksi. Kwanini mambo ya kufikirika yanatutia kiwewe sana?

Ukimpa Mungu kipaumbele, naye anakupa kipaumbele, ukikosea atakuadhibu, ukipatia atakubariki,

Sasa tafakari ,kabla ya hizo laana wewe una uhusiano Gani na Mungu!??


Kuna walioipa Dunia kipaumbele,na wanaenjoy, ila unajua baada ya Bata na anasa za duniani ,na kuzikwa kwenye makaburi ya vioo Huwa wanaishia wapi!?? Siri ya kaburi,
 
Hii ni kama tu zamani walikuwa wanasema mwanamke asile mayai mtoto atakufa
 
Asante sana Mkuu kwa ufanunzi huu 😜
 
How do you feel kulala na kahaba? Kimsingi ni uchafu na chukizo
 
Sisi waafrica wengi wetu ni wajinga tusamehe tu mkuu.
Jana nilikuwa kwenye ferry navuka toka sengerema kwenda mwanza sasa pale kamanga nikakuta kuna tukio kuna jamaa alidubukia kwenye ziwa na kuzama ila hajaibuka sasa ni siku ya nne, kuna jamaa akawa anasema angekuwa ni mkerewe eti wangempa taarifa mama yake ile siku amepewa taarifa asile chochote anze kuondoka mpaka alipozama mwanae kisha aanze kumuita ndo atakuja, ila akila kitu mwanaye atazama mazima.😲😲 Nikashangaa hivi vitu huwa wanajitungia au wanaamini kweli, huenda jamaa alichukuliwa na mamba akahamishwa mamba anamla kidogo kidogoπŸ˜„πŸ˜„
 
Kama unaamini uchawi, uganga na ushirikina upo Africa na Ulaya haupo, basi hata hiyo mikosi ipo Africa.
Sasa mtu kashalogwa, kanenewa mabaya kwanini usipate mikosi.
Mitaani huku wachawi wanakutwa uchi asubuhi, kwanini usiamini mikosi kupitia ngono
 

Majibu mepesi, kwa maswali au hoja nzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…