Haya ndio mazingaombwe yenyeweJana nilikuwa kwenye ferry navuka toka sengerema kwenda mwanza sasa pale kamanga nikakuta kuna tukio kuna jamaa alidubukia kwenye ziwa na kuzama ila hajaibuka sasa ni siku ya nne, kuna jamaa akawa anasema angekuwa ni mkerewe eti wangempa taarifa mama yake ile siku amepewa taarifa asile chochote anze kuondoka mpaka alipozama mwanae kisha aanze kumuita ndo atakuja, ila akila kitu mwanaye atazama mazima.😲😲 Nikashangaa hivi vitu huwa wanajitungia au wanaamini kweli, huenda jamaa alichukuliwa na mamba akahamishwa mamba anamla kidogo kidogo😄😄
How about a guy who steals public funds , does he get judged and disapproved separately from a womanizerMimi nadhani hawa wanaosema hvi wanashndwa kusema kuwa ukahaba/uzinzi/uasherati unaleta God's disapproval ambayo matokeo unaweza usiyaone sasa......
This has nothing to do with financial prosperity...
Maswali muhimu.Tujiulize tuu, kama malaya ana nuksi au laana, kwann zisianze kumuathiri yeye mwenyewe kwanza?
Je ww unaenda kula malaya ndo huna nuksi na laana?
Anyway, zamani nilijua malaya ni watu wabaya sana 😎
Kuna mmoja huyo nilipiga, dah 🙌 mpaka nikajiuliza kwann anajiuza mana manzi mkali afu mtamu kinoma noma.Maswali muhimu.
Malaya wako vzr tu shida ni maisha tu.
Duuh! Sawa tajiri mfuska...Athari za umasikini
Nina mlokole hapa ofisini kwetu jamani anaogopa kila kitu anaita ni pepo limetumwa ,huwa namcheka some time namuonea huruma anatuogopa waislamu,wasanii wote anasema ni mapepo ila wamekuja kwa umbo la binaadamu .Mimi najiuliza huyu si ataumwa huyu?Vijana wa kilokole ni wajinga sana , hao digidigi huwa hata siwasikilizi michango yao.
Huu ni ulimbukeniNina mlokole hapa ofisini kwetu jamani anaogopa kila kitu anaita ni pepo limetumwa ,huwa namcheka some time namuonea huruma anatuogopa waislamu,wasanii wote anasema ni mapepo ila wamekuja kwa umbo la binaadamu .Mimi najiuliza huyu si ataumwa huyu?
Unaijua Bluetooth inaweza sambaza virusMkuu acha bange na visungura
Unaijua Bluetooth inaweza sambaza virusMkuu acha bange na visungura