Sijawai kulala kitanda kimoja na mwanaume mwenzangu...misibani kama hakuna lodge bora niegamie viti tu.Hivi nyinyi mkilala jinsia yenu, mnalala vichwa mmeweka sehemu 1?
Binafsi, ikitokea tumelala wanaume tupu.. basi huyu kichwa akiweka kaskazini, huyu kichwa kusini
Napenda eeh kuna raha yakeWewe unapenda kuoga, sincerely?
Mi najua wengi hawapendi...
Sasa upo makete utaoga daily kweli...Kama una mwili mzuri usionukanuka unaweza usioge hata wiki ikiwa upo sehemu zenye baridi. Maeneo ya joto utalimika kuoga kila siku ili kupoza mwili. Ni aibu unaenda kupiga shoo huku unanuka kikwapa hata kama ni mkeo na mmezoeana haifai kupigana shoo huku mnanuka jasho/vikwapa
Watu wanashangaa kulala mchongoma. Dubai mpaka leo watu wanaojitafuta unakuta mtu kabebwa kwenye bed space (hii ni vitanda unalipia per day) kuna room unakuta landlord hajaweka double decker. Watu wanapiga michongoma asubuhi wanawahi makazini na wamechomekea vizuri. Room.unakuta kuna wapopo,Ghana,Senegal,India,Pakistan watu wanalala radar usiku kucha.Hili halikwepeki kuna mazingira yanatokea mnalala mchongoma fresh tu..
Acha kuokota okota hiyo mibaba, ona hata kuoga imechoka!Kuna mgeni nililala nae jana, nikamwambia kihekima maji ya kuoga yapo chooni akaniambia haogi.
Nikamwambia basi kanawe miguu akanijibu Tokea asubuhi sijavua viatu, miguu yangu misafi😂
Uko sahihi,una hoja usikilizwe.Hakuna faida zozote za kiafaya kuoga kila siku kama huishi sehemu zenye joto au kufanya kazi ngumu za kukutoa jasho.
Watu wengi wanaoga kila siku kwa sababu ya mazoea tu. Kama uko kwenye baridi ukioga mara tatu kwa wiki inatosha.
Kwani de gunner jana alipoaga humu Moja kwa moja alinyoosha kwako?Kuna mgeni nililala nae jana, nikamwambia kihekima maji ya kuoga yapo chooni akaniambia haogi.
Nikamwambia basi kanawe miguu akanijibu Tokea asubuhi sijavua viatu, miguu yangu misafi😂
Wachina na wa Asia wengi hawaogi on daily basis.Iringa kuna sehemu inaitwa Mgololo baridi ya kule ukikaa kizembe bila kuoga mchana unaweza maliza week. Kuna wachina niliona wakiyaogopa maji kama mabomu wao ni kupuliza perfume.
Thubutu.!Kwani de gunner jana alipoaga humu Moja kwa moja alinyoosha kwako?
🤔🤔🤔
Watu wanashangaa kulala mchongoma. Dubai mpaka leo watu wanaojitafuta unakuta mtu kabebwa kwenye bed space (hii ni vitanda unalipia per day) kuna room unakuta landlord hajaweka double decker. Watu wanapiga michongoma asubuhi wanawahi makazini na wamechomekea vizuri. Room.unakuta kuna wapopo,Ghana,Senegal,India,Pakistan watu wanalala radar usiku kucha.
Basi kuna aina ya maisha umepitia ambayo wengi hatujapitia, sie kuanzia shule, magetoni, majumbani mwetu etc tushalala sana wawili, sometimes mpaka wa3.Sijawai kulala kitanda kimoja na mwanaume mwenzangu...misibani kama hakuna lodge bora niegamie viti tu.
Aah.. sisi kiumeni haiwezekani 😂Inategemea! Muda mwingine tunakumbatiana kabisa
Basi kuna aina ya maisha umepitia ambayo wengi hatujapitia, sie kuanzia shule, magetoni, majumbani mwetu etc tushalala sana wawili, sometimes
Udogoni sawa ila baada ya kuwa mwanaume kijana mpaka mbaba niliacha kabisa.Basi kuna aina ya maisha umepitia ambayo wengi hatujapitia, sie kuanzia shule, magetoni, majumbani mwetu etc tushalala sana wawili, sometimes mpaka wa3.
⬆️⬇️⬆️