Sio Lazima Mzazi wangu awe Kada, Mimi kuwa mwana CCM kindakindaki

Sio Lazima Mzazi wangu awe Kada, Mimi kuwa mwana CCM kindakindaki

Hiki ni chama timamu, hivyo no uchawa ila mapenzi ya kizalendo ⛹️.
🤣🤣
Mh.John Mnyika naye ni chawa....hata miss Newton ,John Pambalu ,Mdude na Martin Maranja Masese nao pia chawa tu ,huoni meku ?!!!!
 
Back
Top Bottom