Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
wanagawa kadi za kielectronic kama njuguuu. yaani ni nyumba kwa nyumbaKwa sasa kujifunga CCM Kwa Nia hiyo utakuwa umechelewa.
CCM Ina muda Mchache kabla ya kujifia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanagawa kadi za kielectronic kama njuguuu. yaani ni nyumba kwa nyumbaKwa sasa kujifunga CCM Kwa Nia hiyo utakuwa umechelewa.
CCM Ina muda Mchache kabla ya kujifia.
Mfano wa Magufuli sio sahihi hata kidogo. Hakukaa ndani ya CCM na hasa katika ubunge kwa miaka mingi kiasi kile ili apenyeze mabadiliko yoyote ndani ya mfumo. Alikuwa part and parcel ya mfumo wa CCM na alishiriki kupitisha uozo wote uliojiri tangu awe bungeni.Kwa nature ya watanzania ni ngumu sana kufanikisha lengo lako la kubadili mambo unayoona si sawa kwenye serikali
Tofauti na Kenya ambapo wana umoja unaounganishwa na ukabila na factors zingine hivyo ukipinga ukiwa Kenya basi hauko peke yako.
Work smart , jiunge na Chama tawala , chezesha karata zako vizuri hadi ufike top.
Hapo utakuwa tayari una mtaji wa watu , nguvu na fedha , utaanza kubadili mfumo mzima waliokwisha kutengeneza CCM tangu Uhuru.
Ukiwa nje ya mfumo , Tofauti na ku risk maisha yako hakuna utakachobadili.
Magufuli kwa mfano naweza Sema ni mtu ambaye alipaswa kuwa upinzani lakini aka work smart na amebadili fikra na mitazamo ya watanzania wengi , amefungua akili za wengi ku pay attention kwenye serikali maana amefukua mouvu mengi sana achana na mabaya yake kwanza.
Mifumo iliyojengwa tangu uhuru huwezi kuiingilia kirahisi lazima utumie akili.
Chawa wa shetani Magufuli hawajifichi hata wakivaa ngozi ya kondoo!Kwa nature ya watanzania ni ngumu sana kufanikisha lengo lako la kubadili mambo unayoona si sawa kwenye serikali
Tofauti na Kenya ambapo wana umoja unaounganishwa na ukabila na factors zingine hivyo ukipinga ukiwa Kenya basi hauko peke yako.
Work smart , jiunge na Chama tawala , chezesha karata zako vizuri hadi ufike top.
Hapo utakuwa tayari una mtaji wa watu , nguvu na fedha , utaanza kubadili mfumo mzima waliokwisha kutengeneza CCM tangu Uhuru.
Ukiwa nje ya mfumo , Tofauti na ku risk maisha yako hakuna utakachobadili.
Magufuli kwa mfano naweza Sema ni mtu ambaye alipaswa kuwa upinzani lakini aka work smart na amebadili fikra na mitazamo ya watanzania wengi , amefungua akili za wengi ku pay attention kwenye serikali maana amefukua mouvu mengi sana achana na mabaya yake kwanza.
Mifumo iliyojengwa tangu uhuru huwezi kuiingilia kirahisi lazima utumie akili.
Yani Unakua mwanasiasa indirect