kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Sio Lissu wala nyalandu mwenye uwezo wa kusimama na magu na akashinda 2020 kwa hivi sasa bado sana baada ya Lowassa kwenda harijojo 2015 Chadema wanaonekana kuchanganyikiwa zaidi na hii hata wakichukua mtu kutoka Ccm bado simuoni wa kusimama naye hata iwe Mwandosya au Membe bado sana hawajawa na uwezo wa kupambana na Magu.
Chadema ilipofikia sasa ni wakati wa kumpigia magoti Lipumba labda ndio mwenye ushawishi kama atakubali au wakubali kumsujudia dk slaa waliyemtukana aweze kurudi tena.
Makamanda wana weweseka wameanza kupiga ramli baada ya Magu ni nani sasa ataefuata ni kiboko yenu kama si katibu mkuu basi ni Makonda ili waendelee na moto ule ule kuwanyoosha kima wote kwa kuuchoma msitu moto!