Sio Lissu wala Nyalandu mwenye uwezo wa kushindana na Magufuli 2020

Sio Lissu wala nyalandu mwenye uwezo wa kusimama na magu na akashinda 2020 kwa hivi sasa bado sana baada ya Lowassa kwenda harijojo 2015 Chadema wanaonekana kuchanganyikiwa zaidi na hii hata wakichukua mtu kutoka Ccm bado simuoni wa kusimama naye hata iwe Mwandosya au Membe bado sana hawajawa na uwezo wa kupambana na magu,
Chadema ilipofikia sasa ni wakati wa kumpigia magoti Lipumba labda ndio mwenye ushawishi kama atakubali au wakubali kumsujudia dk slaa waliyemtukana aweze kurudi tena
Makamanda wana weweseka wameanza kupiga ramli baada ya Magu ni nani sasa ataefuata ni kiboko yenu kama si katibu mkuu basi ni Makonda ili waendelee na moto ule ule kuwanyoosha kima wote kwa kuuchoma msitu moto!

Ndio maana kila siku nasema wewe mtoto unakumutwa.
 
Ni kweli mkuu! Mi simuoni wakumshinda Magufuli kwenye kinyanganyilo cha Urais, Hivi Lissu just imagine anasimama jukwaani anaongea nini kwa mfano tukamuelewa..! n Mi sion labda aseme alipigwa risasi dereva wake akazikwepa kama Jet-Lee ila yeye zikampata na ana kesi zaidi ya 50 kortini maana ndicho watakachosema labda!

Mwananchi gani atamchagua Lissu kisa kasema atajenga Fly Over akamuelewa? Yani aseme Magu najenga Fryover na Lissu wananchi wamuone Lissu ndiye atajenga? Imposible Watanzania si wajinga kiasi hicho.
 
One by one mbona mweupe sana ila kama atakuwa na usaidizi hili sipingi mpaka 2070
 
sasa zile risasi zilikuwa za nini wakati ana pHD ya utomvu wa korosho ?
je haikutosha kupambana na yeye ?
CCM bila jeshi la polisi, usalama na jeshi la wananchi ambalo limeshiriki mara kadhaa kuisaidia CCM ishinde kwa kutumia vifaru kuwatisha wananchi, CCM ni laini kama maji ya kunawa..
huyo unayemsifia ukisema tu umaarufu wake umeporomoka ujue huna bahati, huyu hajiamini !
 
Nilitaka kuikubali hoja yako kwa asilimia fulani lakini ulivyoleta mapendekezo ya anaefuatia hoja nzima imeonekana ni boko
 
Sio Lissu wala nyalandu mwenye uwezo wa kusimama na magu na akashinda 2020 kwa hivi sasa bado sana baada ya Lowassa kwenda harijojo 2015 Chadema wanaonekana kuchanganyikiwa zaidi na hii hata wakichukua mtu kutoka Ccm bado simuoni wa kusimama naye hata iwe Mwandosya au Membe bado sana hawajawa na uwezo wa kupambana na magu,
Chadema ilipofikia sasa ni wakati wa kumpigia magoti Lipumba labda ndio mwenye ushawishi kama atakubali au wakubali kumsujudia dk slaa waliyemtukana aweze kurudi tena
Makamanda wana weweseka wameanza kupiga ramli baada ya Magu ni nani sasa ataefuata ni kiboko yenu kama si katibu mkuu basi ni Makonda ili waendelee na moto ule ule kuwanyoosha kima wote kwa kuuchoma msitu moto!
MEMBE= PRESIDENTIAL MATERIAL.

JIWE=PRESIDENTIAL RUBBISH.

MEMBE > JIWE

Hence MEMBE FOR PRESIDENCY 2020.

#CCMTwendeniNaMEMBE2020
#MEMBEkwaUSHINDIwaUHAKIKA.
 
Kushiriki hakumaanishi ni hiyo tume ni huru. Ushiriki pia huleta ushahidi usioacha shaka jinsi gani tume si huru. Tume kutokuwa huru haimaanishi kuwa ccm hakuna sehemu inayoshinda kihalali, bali wingi wa wagombea wa ccm unaletwa na hiyo tume isiyo huru. Unaweza kutetea upendavyo kwani unafaidika na hiyo tume kutokuwa huru na hamna uwezo wala mvuto wa kushinda uchaguzi zaidi ya kutegemea muundo wa hiyo tume.

Unaposema kwamba hiyo tume sio huru mbona miaka yote watu wanashiriki? Ni sawa na kusema kama hii nchi yetu ni masikini na sisi tunajua hilo kwanini tunaendelea kuishi hapa nchini? Hayo ndio mazingira yetu na tunaendelea kufanya njia zote za amani kurekebisha haki hiyo. Ikishindikana njia ya amani itatumika njia ya machafuko kubadili hilo, japo njia ya machafuko si njema.
Hamuishi kulia ila hamtaki kujitathimini nini tatizo miaka nenda kura hazitoshi viongozi wenu wanajua kila kitu ila wameamua kuwatia upofu!
 
Sio Lissu wala nyalandu mwenye uwezo wa kusimama na magu na akashinda 2020 kwa hivi sasa bado sana baada ya Lowassa kwenda harijojo 2015 Chadema wanaonekana kuchanganyikiwa zaidi na hii hata wakichukua mtu kutoka Ccm bado simuoni wa kusimama naye hata iwe Mwandosya au Membe bado sana hawajawa na uwezo wa kupambana na magu,
Chadema ilipofikia sasa ni wakati wa kumpigia magoti Lipumba labda ndio mwenye ushawishi kama atakubali au wakubali kumsujudia dk slaa waliyemtukana aweze kurudi tena
Makamanda wana weweseka wameanza kupiga ramli baada ya Magu ni nani sasa ataefuata ni kiboko yenu kama si katibu mkuu basi ni Makonda ili waendelee na moto ule ule kuwanyoosha kima wote kwa kuuchoma msitu moto!
Mweeeeeee itakuwa hukuandika kwa hiyari yako
 
Tatizo lako ni kuwa huelewi siasa, kwa hali ilivyo ccm hivi sasa wakisimamisha viongozi bila polisi kuingilia watalamba gharasha. Lisu yuko juu kwa sababu anaongea kutoka moyoni na Nyalandu pia ana uzalendo uliokomaa. Huko ccm wamebaki kutumia polisi kutisha watu na kuwatesa
Mhhh Wenzio hawajui 2020 wamsimamishe nani!
 
Hamuishi kulia ila hamtaki kujitathimini nini tatizo miaka nenda kura hazitoshi viongozi wenu wanajua kila kitu ila wameamua kuwatia upofu!

Haya tunayaona kwa macho yetu hatusubiri kuambiwa na viongozi.

Nb: kamsikikize Zitto anakuambia watu 100 wameuliwa huko Uvinza na polisi. Hao hao polisi wanaosimamia uchaguzi huru na hili limekaliwa kimya.
 
Back
Top Bottom