Sio Lissu wala Nyalandu mwenye uwezo wa kushindana na Magufuli 2020

Sio Lissu wala nyalandu mwenye uwezo wa kusimama na magu na akashinda 2020 kwa hivi sasa bado sana baada ya Lowassa kwenda harijojo 2015 Chadema wanaonekana kuchanganyikiwa zaidi na hii hata wakichukua mtu kutoka Ccm bado simuoni wa kusimama naye hata iwe Mwandosya au Membe bado sana hawajawa na uwezo wa kupambana na Magu.

Chadema ilipofikia sasa ni wakati wa kumpigia magoti Lipumba labda ndio mwenye ushawishi kama atakubali au wakubali kumsujudia dk slaa waliyemtukana aweze kurudi tena.

Makamanda wana weweseka wameanza kupiga ramli baada ya Magu ni nani sasa ataefuata ni kiboko yenu kama si katibu mkuu basi ni Makonda ili waendelee na moto ule ule kuwanyoosha kima wote kwa kuuchoma msitu moto!
Unafikiri kwa kutumia makalio.
 
Sisi tunawaza ilikoenda nchi yetu Tanzania wewe unawaza kushindana! Mungu tusaidie majinga haya tuyapeleke wapi?
Sio Lissu wala nyalandu mwenye uwezo wa kusimama na magu na akashinda 2020 kwa hivi sasa bado sana baada ya Lowassa kwenda harijojo 2015 Chadema wanaonekana kuchanganyikiwa zaidi na hii hata wakichukua mtu kutoka Ccm bado simuoni wa kusimama naye hata iwe Mwandosya au Membe bado sana hawajawa na uwezo wa kupambana na Magu.

Chadema ilipofikia sasa ni wakati wa kumpigia magoti Lipumba labda ndio mwenye ushawishi kama atakubali au wakubali kumsujudia dk slaa waliyemtukana aweze kurudi tena.

Makamanda wana weweseka wameanza kupiga ramli baada ya Magu ni nani sasa ataefuata ni kiboko yenu kama si katibu mkuu basi ni Makonda ili waendelee na moto ule ule kuwanyoosha kima wote kwa kuuchoma msitu moto!
Sasa kama hana wa kushindana naye kwa nini huwa anatumia mabavu kupata kura?
 
Kipara tume ikiwa huru hata amber rutty atambwaga kipara amechokwa hadi n jnt
 
" Nikuteue mimi, nikulipe mshahara, nikupe gari na nyumba halafu unamtangaza mpinzani kashinda, Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hapo ujue kazi imekushinda"

Hapo ndio tutakoma kumpa kaya mkimbizi toka nchi jirani.
 
Kwenye uchaguzi fair and transparent hata ccm ikishindana na kichuguu itashindwa kwa mbali sana
 
Uchaguzi kila unapofanyika ni huru kutokana tayari mnalo jinamizi la kushindwa huwa hamkosi mtu wa kumtupia lawama miaka nenda mnashiriki kwa tume hii hii kwanini msisue tu!
Hivi wewe kipara unajitambua kweli? Kama una maslai ya moja kwa moja kama Bashite upo sahihi kabisa ila kama siyo basi ubongo wako una itilafu kubwa sana.
 
h
hahahaha
ccm haijawahi kuwa dhaifu kama ilivyo sasa.tuliwaambia huyo mwenyekiti hajawahi kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi asigeweze kukiongoza chama.mkawa wabishi.sasa angalia chama kipo vipandevipande
Chadema isingetia mpira kwapani kama ingekuwa dhaifu!
 
2020 twendeni na BERNARD MEMBE, yeye atosha kabisa na Watanzania wanamtegemea kuleta mabadiliko chanya.
 
" Nikuteue mimi, nikulipe mshahara, nikupe gari na nyumba halafu unamtangaza mpinzani kashinda, Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hapo ujue kazi imekushinda"

Hapo ndio tutakoma kumpa kaya mkimbizi toka nchi jirani.

Maneno Demokrasia na Utawala Bora hayapo kabisa mdomoni kwa huyu jamaa.
 
Nimefurahi kwa hii comment yako kwa kuudhihirishia kwa namna nyingine kuwa Bashite ni jina halisi la Makonda hivyo unatambua fika anatumia jina sio lake. Point yangu ya msingi ni kwamba Mungu ni wa wote sio wa huyo Bashite wala Magufuli zama zao zitapita na watakuja wengine kwani hakuna ataekua juu milele kama wafuasi wengi wa ccm mnavyojidanganya. *Note* SINA CHAMA
Ndiye mwenye kuweza kuwapeleka mpera mpera nyinyi wa serengeti!
 
Nimefurahi kwa hii comment yako kwa kuudhihirishia kwa namna nyingine kuwa Bashite ni jina halisi la Makonda hivyo unatambua fika anatumia jina sio lake. Point yangu ya msingi ni kwamba Mungu ni wa wote sio wa huyo Bashite wala Magufuli zama zao zitapita na watakuja wengine kwani hakuna ataekua juu milele kama wafuasi wengi wa ccm mnavyojidanganya. *Note* SINA CHAMA
Subra ni kitu muhimu!
 
Back
Top Bottom