Sio Lissu wala Nyalandu mwenye uwezo wa kushindana na Magufuli 2020

Hivi unawezje kuvitumia vyombo vya dola kinyume na sheria, Hivi kauli za kiongzzi wako alisemaje juu ya wateule wake.
Mmejaa hofu hofu na mashaka ndio yamewatawala tume ipo huru na uchaguzi upo huru ila hamuuziki kwa wananchi!
 
Acha kujifanya kichaa kama bosi wako. Magufuli hata kura za maoni ndani ya ccm zikisimamiwa bila vitisho hawezi kutoboa.
kura za 3 bora Jiwe alishindwa na Yule mama mzanzibar swahibaake LOWASA alikomba kura zote za lowasa. ndio mana MKWERE akaahirisha matokeo.
 
Bora umeanzisha uzi mpya. Saa hii watu tunawachora na hiyo tume ya uchaguzi inayopambania tumbo na kujipendekeza kwa rais.
Nimefuata ushauri wako,jipangeni acheni visingizio visivyo na kichwa wala miguu!
 
Hivi unawezje kuvitumia vyombo vya dola kinyume na sheria, Hivi kauli za kiongzzi wako alisemaje juu ya wateule wake.
Wafanye kazi kwa bidii kuwaletea maendeleo wananchi na kupiga vita ufisadi!
 
Nimefuata ushauri wako,jipangeni acheni visingizio visivyo na kichwa wala miguu!

Magu hawezi siasa za ushindani, na hao watumishi wa tume ya uchaguzi hawana uwezo wa kwenda kupata vipato vizuri nje ya hiyo kazi ya upendeleo. Hivyo hawana jinsi zaidi ya kutii atakacho jiwe.
 
kura za 3 bora Jiwe alishindwa na Yule mama mzanzibar swahibaake LOWASA alikomba kura zote za lowasa. ndio mana MKWERE akaahirisha matokeo.
Ukweli kama huu wao wanaita uchochezi na ni kosa la jinai linaloweza kukuweka ndani bila dhamana kwa siku 38.
 
Magufuli bila figisu hapati kitu, hata akishindana na Bulaya
 
Sio Lissu wala nyalandu mwenye uwezo wa kusimama na magu na akashinda 2020 kwa hivi sasa bado sana baada ya Lowassa kwenda harijojo 2015 Chadema wanaonekana kuchanganyikiwa zaidi na hii hata wakichukua mtu kutoka Ccm bado simuoni wa kusimama naye hata iwe Mwandosya au Membe bado sana hawajawa na uwezo wa kupambana na magu,
Chadema ilipofikia sasa ni wakati wa kumpigia magoti Lipumba labda ndio mwenye ushawishi kama atakubali au wakubali kumsujudia dk slaa waliyemtukana aweze kurudi tena
Makamanda wana weweseka wameanza kupiga ramli baada ya Magu ni nani sasa ataefuata ni kiboko yenu kama si katibu mkuu basi ni Makonda ili waendelee na moto ule ule kuwanyoosha kima wote kwa kuuchoma msitu moto!
Nakwambia tu kamkumbushe aliekutuma kuwaa,,tunajua anamuogopa lissu ndo maana 38+ aliona itakua suluhisho ,,ila MUNGU aliamua kumuumbua ,,,,LISSU anamuondoa mapema sana katika wanasiasa waliopo upinzani na hata waliopo ndani ya ccm ,,, ni watu wawili tu wanamnyima usingingiz Jiwe,, TUNDU ANTIPAS LISSU,,na, ZITOO ZUBERI KABWE
 
Kukiwa na Tume huru na Uchaguzi huru, bila kuingiliwa na polisi au chombo kingine Ku effluence matokeo basi Magufuli hana ubavu hata wa kupambana na Mimi.
 
Magu hawezi siasa za ushindani, na hao watumishi wa tume ya uchaguzi hawana uwezo wa kwenda kupata vipato vizuri nje ya hiyo kazi ya upendeleo. Hivyo hawana jinsi zaidi ya kutii atakacho jiwe.
Uchaguzi kila unapofanyika ni huru kutokana tayari mnalo jinamizi la kushindwa huwa hamkosi mtu wa kumtupia lawama miaka nenda mnashiriki kwa tume hii hii kwanini msisue tu!
 
Sielewi kwa nini mnapenda kupoteza muda wenu. 2020 ni Magufuli wa ccm na hakuna mwingine. Timu yake ya ushindi ni wakuu wote wa mikoa na wilaya, ma-DED wote, mapolisi wote, vyombo vyote vya dola kama ilivyokuwa kwenye chaguzi ndogo. Nyie mtapigiwa kura nyingi na yeye atatangazwa mshindi hata chini ya mtutu wa bunduki. Kubalini tu hata kama haimezeki. Ndo ukweli!
 
Nakwambia tu kamkumbushe aliekutuma kuwaa,,tunajua anamuogopa lissu ndo maana 38+ aliona itakua suluhisho ,,ila MUNGU aliamua kumuumbua ,,,,LISSU anamuondoa mapema sana katika wanasiasa waliopo upinzani na hata waliopo ndani ya ccm ,,, ni watu wawili tu wanamnyima usingingiz Jiwe,, TUNDU ANTIPAS LISSU,,na, ZITOO ZUBERI KABWE
Kwenye mitandao lakini si majukwaani!
 
Sielewi kwa nini mnapenda kupoteza muda wenu. 2020 ni Magufuli wa ccm na hakuna mwingine. Timu yake ya ushindi ni wakuu wote wa mikoa na wilaya, ma-DED wote, mapolisi wote, vyombo vyote vya dola kama ilivyokuwa kwenye chaguzi ndogo. Nyie mtapigiwa kura nyingi na yeye atatangazwa mshindi hata chini ya mtutu wa bunduki. Kubalini tu hata kama haimezeki. Ndo ukweli!
naongeza nyama kwenye timu ya ushindi Mbowe na Lowassa!
 
Uchaguzi kila unapofanyika ni huru kutokana tayari mnalo jinamizi la kushindwa huwa hamkosi mtu wa kumtupia lawama miaka nenda mnashiriki kwa tume hii hii kwanini msisue tu!

Kushiriki hakumaanishi ni hiyo tume ni huru. Ushiriki pia huleta ushahidi usioacha shaka jinsi gani tume si huru. Tume kutokuwa huru haimaanishi kuwa ccm hakuna sehemu inayoshinda kihalali, bali wingi wa wagombea wa ccm unaletwa na hiyo tume isiyo huru. Unaweza kutetea upendavyo kwani unafaidika na hiyo tume kutokuwa huru na hamna uwezo wala mvuto wa kushinda uchaguzi zaidi ya kutegemea muundo wa hiyo tume.

Unaposema kwamba hiyo tume sio huru mbona miaka yote watu wanashiriki? Ni sawa na kusema kama hii nchi yetu ni masikini na sisi tunajua hilo kwanini tunaendelea kuishi hapa nchini? Hayo ndio mazingira yetu na tunaendelea kufanya njia zote za amani kurekebisha haki hiyo. Ikishindikana njia ya amani itatumika njia ya machafuko kubadili hilo, japo njia ya machafuko si njema.
 
Sio Lissu wala nyalandu mwenye uwezo wa kusimama na magu na akashinda 2020 kwa hivi sasa bado sana baada ya Lowassa kwenda harijojo 2015 Chadema wanaonekana kuchanganyikiwa zaidi na hii hata wakichukua mtu kutoka Ccm bado simuoni wa kusimama naye hata iwe Mwandosya au Membe bado sana hawajawa na uwezo wa kupambana na magu,
Chadema ilipofikia sasa ni wakati wa kumpigia magoti Lipumba labda ndio mwenye ushawishi kama atakubali au wakubali kumsujudia dk slaa waliyemtukana aweze kurudi tena
Makamanda wana weweseka wameanza kupiga ramli baada ya Magu ni nani sasa ataefuata ni kiboko yenu kama si katibu mkuu basi ni Makonda ili waendelee na moto ule ule kuwanyoosha kima wote kwa kuuchoma msitu moto!
Hivi kwanini awamu hii imejaa hofu kuanzia viongozi mpaka wapambe?
 
Tatizo lako ni kuwa huelewi siasa, kwa hali ilivyo ccm hivi sasa wakisimamisha viongozi bila polisi kuingilia watalamba gharasha. Lisu yuko juu kwa sababu anaongea kutoka moyoni na Nyalandu pia ana uzalendo uliokomaa. Huko ccm wamebaki kutumia polisi kutisha watu na kuwatesa
 
Back
Top Bottom